Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,188
Do you believe that crap? Ni upuuzi tu wa kujustify matumizi ya Dreamliner kwenda Mwanzakama ikiwa hvy bc kifo cha JNIA kimewasili.
Acha masihara au unazungumzia JNIA IPI hata KIA Tu haitakufu kwa sababu ndogo kama hiyokama ikiwa hvy bc kifo cha JNIA kimewasili.
Do you believe that crap? Ni upuuzi tu wa kujustify matumizi ya Dreamliner kwenda Mwanza
Ni uhamuzi wa ajabu sio kitu cha kushangilia.Rock city inazidi kupiga bao majiji yote Bongo ukiacha la wala supu ya pweza
Hata makao makuu ya East Afrika yalitakiwa yawe Mwanza ukizingatia Jiografia ya Nchi wanachama. Kwa mfano, ukiwa Mwanza ni rahisi zaidi kwenda Burundi, Rwanda, Uganda, Kenya na hata Sudan kusiniNi uhamuzi wa ajabu sio kitu cha kushangilia.
AiseeeeDo you believe that crap? Ni upuuzi tu wa kujustify matumizi ya Dreamliner kwenda Mwanza
Alijua kile kipeperushi chako cha Tanzanite aka toilet paper.Ni Gazeti la Mwananchi ndugu. Acha roho ya kwa nini
Uamuzi wa kiboya ni sawa na uamuzi wa serikali kununua korosho nakuzibangua kwa menoRock city inazidi kupiga bao majiji yote Bongo ukiacha la wala supu ya pweza