jojipoji koromije
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,127
- 1,635
Ebu imagine lile daraja likamilike, magari yaanze kumwagika yakitoka huku na kule, unadhani foleni ya Usagara hadi mjini itakuwaje ?
kwa taarifa yako kuna by pass road inayoanzia hapo usagara kwenda igoma bila kupitia mjini.hiyo barabara ya usagara kuipanua kwa sasa haiwezekani kwani fidia yake ni kubwa mno.miundo mbinu inajengwa,masoki yanajengwa,eapoti inajengwa upya,hospitali zimejengwa,mashule yamejengwa.sgr unaiona inaendelea,barabara kutoka mwanza kwenda sengerema kupitia kamanga,usanifu unaendelea,daraja la busisi unaliona,mambo yanaendaHabari Wana jamvi?
Naomba kutoa mawazo yangu kuwa Kuna jambo haliko sawa jijini Mwanza hususani swala la miundombinu. Jijini Mwanza hakuna miundombinu au barabara za kiwango cha jiji Kama ilivyo kwa majiji mengine. Barabara ndani ya jiji la Mwanza ni ndogo, na za zamani.
Ukiangalia barabara ya kutoka Usagara hadi mjini ni ndogo Kama njia moja tu. Barabara Ile husababisha foleni sana, barabara Ile inafaa njia nne. Pia barabara ya kutoka mjini kwenda Igoma/Kisesa nayo inafaa njia nne lkn ni njia mbili kama moja tu kutaja kwa uchache barabara za Mwanza.
Swali; ni kwa nini serikali na viongozi wa jiji hawaoni umhimu wa barabara hizo au barabara zilizopo Mwanza. Jiji la DSM, Arusha na Dodoma kuna barabara nyingi nzuri. Lakini siyo Mwanza. Kwa nini siyo Mwanza?
Cha ajabu, Bukoba ambayo ni Manispaa imepewa mradi wa barabara njia nne. Watu na magari yaliyopo Bukoba ni kidogo sana lkn wanapewa barabara hizo, Mwanza wananyimwa. Unadhani hilo ni sawa? Nina wasiwasi Kuna kitu hakiko sawa Mwanza kwenye miundombinu. Kwa nini Mwanza haizingatiwi, shida ni nini? Shida ni Serikali kuu? Shida ni madiwani na wabunge au shida iko wapi?
Kwani yule shujaa wenu Chuma hakuna Hilo? Ndio maana Huwa tunasema akili kichwani.Habari Wana jamvi?

MWanaza jiji la kishamba sanaHabari Wana jamvi?

Shida IPO kote kote hao uliowaja wanawaza uchaguzi Wala hawana mpango na kitu kingine mfikishie Salam zake yule mlinzi wa zamani wa hoteli ya mhindi Kule luchelele ajipange kuirudia kazi yake nyamagana hatutaki wajinga kama yeye mtakie mabula stansilaus shing'oma safari njema.Habari Wana jamvi?
Naomba kutoa mawazo yangu kuwa Kuna jambo haliko sawa jijini Mwanza hususani swala la miundombinu. Jijini Mwanza hakuna miundombinu au barabara za kiwango cha jiji Kama ilivyo kwa majiji mengine. Barabara ndani ya jiji la Mwanza ni ndogo, na za zamani.
Ukiangalia barabara ya kutoka Usagara hadi mjini ni ndogo Kama njia moja tu. Barabara Ile husababisha foleni sana, barabara Ile inafaa njia nne. Pia barabara ya kutoka mjini kwenda Igoma/Kisesa nayo inafaa njia nne lkn ni njia mbili kama moja tu kutaja kwa uchache barabara za Mwanza.
Swali; ni kwa nini serikali na viongozi wa jiji hawaoni umhimu wa barabara hizo au barabara zilizopo Mwanza. Jiji la DSM, Arusha na Dodoma kuna barabara nyingi nzuri. Lakini siyo Mwanza. Kwa nini siyo Mwanza?
Cha ajabu, Bukoba ambayo ni Manispaa imepewa mradi wa barabara njia nne. Watu na magari yaliyopo Bukoba ni kidogo sana lkn wanapewa barabara hizo, Mwanza wananyimwa. Unadhani hilo ni sawa? Nina wasiwasi Kuna kitu hakiko sawa Mwanza kwenye miundombinu. Kwa nini Mwanza haizingatiwi, shida ni nini? Shida ni Serikali kuu? Shida ni madiwani na wabunge au shida iko wapi?
Population pressure hata ulaya ni hivyo usitegemee huduma za dar ziwe sawa na mpandaShida ni serikali ya ccm kuijali sana dar na kutelekeza mikoa mingine
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
ilifanya mradi gan au unaongelea darajaTatizo wanaona awamu ya 5 ilipendelea sana huko.... Hakuna jipya litakalofanyika tena hadi labda awamu ingine... Kinachofanyika ni kumalizia miradi iliyoachwa basi...na mengine imetelekeywa mfano uwanja wa ndege pasiasi..
Shangilieni daraja na Sgr si ndio mlisema Chuma anaupiga mwingi au? 😂😂Habari Wana jamvi?
Naomba kutoa mawazo yangu kuwa Kuna jambo haliko sawa jijini Mwanza hususani swala la miundombinu. Jijini Mwanza hakuna miundombinu au barabara za kiwango cha jiji Kama ilivyo kwa majiji mengine. Barabara ndani ya jiji la Mwanza ni ndogo, na za zamani.
Ukiangalia barabara ya kutoka Usagara hadi mjini ni ndogo Kama njia moja tu. Barabara Ile husababisha foleni sana, barabara Ile inafaa njia nne. Pia barabara ya kutoka mjini kwenda Igoma/Kisesa nayo inafaa njia nne lkn ni njia mbili kama moja tu kutaja kwa uchache barabara za Mwanza.
Swali; ni kwa nini serikali na viongozi wa jiji hawaoni umhimu wa barabara hizo au barabara zilizopo Mwanza. Jiji la DSM, Arusha na Dodoma kuna barabara nyingi nzuri. Lakini siyo Mwanza. Kwa nini siyo Mwanza?
Cha ajabu, Bukoba ambayo ni Manispaa imepewa mradi wa barabara njia nne. Watu na magari yaliyopo Bukoba ni kidogo sana lkn wanapewa barabara hizo, Mwanza wananyimwa. Unadhani hilo ni sawa? Nina wasiwasi Kuna kitu hakiko sawa Mwanza kwenye miundombinu. Kwa nini Mwanza haizingatiwi, shida ni nini? Shida ni Serikali kuu? Shida ni madiwani na wabunge au shida iko wapi?
Mshumuru Samia hata anawajengea Barabara za Mitaa vinginevyo mlitakiwa muachwe na Sgr na daraja Ili mkate viuno vizuri👇👇Tatizo wanaona awamu ya 5 ilipendelea sana huko.... Hakuna jipya litakalofanyika tena hadi labda awamu ingine... Kinachofanyika ni kumalizia miradi iliyoachwa basi...na mengine imetelekeywa mfano uwanja wa ndege pasiasi..
Shujaa wenu Kwa nini hakusipanua? Mshukuru Samia sio wa Bara,angekuwa wa Bara msingeramba hata km 1.Bukoba Kuna Barabara ya
Bukoba wanajenga Barabara ya njia nne sababu kuu ikiwa Kona Kali, mteremko na ajali nyingi katika Barabara kuu ya kuingia Bukoba.
Ile sekenke na kitonga ndo Barabara kuu ya kuingia mjini Bukoba ilivyokuwa, ukikosea kidogo unajikuta kwenye paa LA mtu na zimekuwepo ajali za namna hii karibu Kila mwezi. Bukoba ni mji uliopo kwenye valley au basin.
Serikali umeanza kutengeneza Barabara kuu hiyo ya Uganda kwa kuifumua kabisa na kupasua mlima kuondoa mteremko( sasa imefungwa kabisa) kuwa ya njia nne Hadi bandari ya Bukoba km 5.1. Lengo ni kupunguza hizo ajali.
Sasa magari yote ya kuingia Bukoba yanapitia kashura road...ni kweli Bukoba Kuna foleni
Kuhusu Mwanza Barabara ya kenyata na Igoma road wazipanue kuwa njia nne hata kwa awamu kama wanavyofanya Bukoba
Kama aliyaleta hayo maendeleo,haya mapovu ya mtoa mada yametoka wapi?Mwenye jiji lake ameshaenda zake maendeleo yafate kizimkazi...
Daraja ndio litaongeza magari? Yamwagike kutoka wapi? Mnakuza kitu ambacho Wala hakina umuhimu huoEbu imagine lile daraja likamilike, magari yaanze kumwagika yakitoka huku na kule, unadhani foleni ya Usagara hadi mjini itakuwaje ?
Una uhakika? By the way Mwanza Haina umuhimu wowote kushinda Dar,Dom na Arusha.Mwanza haina chake tena mfano Kiwanja cha ndege propoganda zinaendelea hakuna kitu sembuse hizo barabara kisingizio wanajificha kwenye kichaka cha Mwanza ilipendelewa,mbona Dar na Dodoma zilipendelewa zaidi kipindi cha awamu ya 5 kama ndivyo hivyo.
Acha kubishana na Serikali.Hiyi Barabara ndio kipaombele Cha Serikali Kwa Mwanza Hadi Magufuli bridge na upanuzi utaanza baadae mwaka huukwa taarifa yako kuna by pass road inayoanzia hapo usagara kwenda igoma bila kupitia mjini.hiyo barabara ya usagara kuipanua kwa sasa haiwezekani kwani fidia yake ni kubwa mno.miundo mbinu inajengwa,masoki yanajengwa,eapoti inajengwa upya,hospitali zimejengwa,mashule yamejengwa.sgr unaiona inaendelea,barabara kutoka mwanza kwenda sengerema kupitia kamanga,usanifu unaendelea,daraja la busisi unaliona,mambo yanaenda
Pasiansi kuna uwanja wa ndege?Tatizo wanaona awamu ya 5 ilipendelea sana huko.... Hakuna jipya litakalofanyika tena hadi labda awamu ingine... Kinachofanyika ni kumalizia miradi iliyoachwa basi...na mengine imetelekeywa mfano uwanja wa ndege pasiasi..