Jiji la Mwanza hovyo kabisa, uchafu umekithiri sana

Jiji la kishamba sana hilo sehem nzuri wanayo jivunia ni yule samaki aliechakaa
 
Hivi hili suala la harufu mbaya katka eneo la Mswahili(Mkuyuni) viongozi hamlioni? maana ni kero kubwa kwa wakaazi,wafanyabiashara na wapita njia.

Naunga juhudi suala la hawa wakina mama kujishughulisha ili kujipatia kipato ila sehemu wanayofanyia shughuli sio sehemu sahihi maana ni eneo la shughuli nyingi za watu hivyo kuwa na mazingira salama ni jambo jema sana kwa afya za watu ni vyema watafutiwe eneo lingine la kufanya shughuli zao za kuanika uduvi.

Pia upande wa soko mazingira ni hovyo sana yanatia kinyaa kabisa ila utakuta ushuru unakusamywa yaani pesa kwanza ila kutegeneza mazingira salama ya eneo pesa inakotoka sio jambo muhimu sana

Viongozi msikae maofisini tembeeni muone mazingira yasivyo rafiki kwa wananchi.

Sio sehem zote zitakua safi.. ova
 
Mhhh huna hoja wewe
 
Moja kati ya majiji bora ya kuishi na kibiashara ndani ya Tz, Mwanza the best...hata kwa usafi pia wanajitahidi sana ukilinganisha na mikoa mingine. Labda baadhi ya maeneo machache
Mara ya mwisho kuja mwanza ilikuwa lini?

Mwanza sa ivi ni shithole km ilivyo dar
 
Jiji la kishamba sana hilo sehem nzuri wanayo jivunia ni yule samaki aliechakaa

Kiumbe cha Mungu kinacholiwa unakiita "kimechakaa"!!! Ndio maana mabalaa hayaishi jiji la gharama, ufuska na uchafu wa aina zote...

Alafu wengi wenu wana dar mkienda Dubai mnashangaa magorofa kamanda, na mkipanda pipa mnajiselfie..nyie noma sana 🤣🤣🤣
 
Bora mwanza kuliko lile jiji la wala-chips.

Jiji lina joto kali ukichanganya na fukuto la vinyesi vya mitaroni unaweza kutapika kila unapopita.

Mwingine anauza tumihogo twake kwenye mfereji wa maji-taka. Chumvi, ndimu na chachandu humo humo.....

Jiji linatisha sana lile!

Hewa ya Mwanza ni kama paradiso. Hewa laiiiniiiiiii...... unapumua huku unatabasamu.

Ukifika Dar unatembea huku machozi yanatoka. Maana hewa ni nzito imechanganyika na harufu za mizoga sijui!
 
Mongela hana anachokifanya, hana faida katika jiji
 
Kweli Mkuu hili jiji nilikuwa nalipenda tangu utotoni.

Na kwa neema ya Mungu nilifanikiwa kusoma huko.

Kiukweli ni moja ya jiji linalobutia snaa,hamna popn za kipuuzi,huwezi kuhisi joto kali usiku + fujo fujo za usiku hamna.

Haswaa...upepo wa baridi kutoka ziwani/maji matamu 💦😍😍 + milima na visiwa vilivyojaa green na umande...aisee mwanza ndio pakuishi.
 
nakuunga mkono kwa uchafu wa hilo eneo na arufu kali inayopatikana maeneo hayo, wahusika wahusike na hii kadhia
 
Mi naishi mwanza

Kuishi sio sababu kamanda...wewe kama sio msukuma hata kama umeishi for a long time lazima utakua na majibu tofauti...mgeni/mpita njia ama mtu wa kabila tofauti na wakazi wa pale tusitegemee atausemea vizuri mji huo isipokua wachache tu, lazima ataukosoa kwa namna moja ama nyingine na kuufagilia ukanda wake walikotoka wazazi wake...

For me, mwanza ndio jiji bora kwa kuishi na hata kibiashara japo siishi mwanza.
 
Mkuu mwanza safi.
Hivi hili suala la harufu mbaya katka eneo la Mswahili(Mkuyuni) viongozi hamlioni? maana ni kero kubwa kwa wakaazi,wafanyabiashara na wapita njia.

Naunga juhudi suala la hawa wakina mama kujishughulisha ili kujipatia kipato ila sehemu wanayofanyia shughuli sio sehemu sahihi maana ni eneo la shughuli nyingi za watu hivyo kuwa na mazingira salama ni jambo jema sana kwa afya za watu ni vyema watafutiwe eneo lingine la kufanya shughuli zao za kuanika uduvi.

Pia upande wa soko mazingira ni hovyo sana yanatia kinyaa kabisa ila utakuta ushuru unakusamywa yaani pesa kwanza ila kutegeneza mazingira salama ya eneo pesa inakotoka sio jambo muhimu sana

Viongozi msikae maofisini tembeeni muone mazingira yasivyo rafiki kwa wananchi.

Siku ukipata bahati tembelea Mbeya utaenjoy
 
Mwanza utabaki kuwa miongoni mwa miji nnayoikubali sana siku zote.
Basi umefanania na hayo mazingira. Mada inazingumzia uchafu halafu unasema unapakubali..kwa UCHAFU na UOZO?
 
Back
Top Bottom