kinguhj Member Joined Sep 4, 2024 Posts 49 Reaction score 129 Sep 12, 2024 #1 Nimekumegea sehemu ndogo ya jiji la Tanga na madhari yake. Karibuni waja leo,kuondoka majaliwa.
Memories and molly Member Joined Sep 11, 2024 Posts 46 Reaction score 65 Sep 12, 2024 #2 Vijiji navyo mahaba au?
kinguhj Member Joined Sep 4, 2024 Posts 49 Reaction score 129 Sep 12, 2024 Thread starter #3 kinguhj said: Nimekumegea sehemu ndogo ya jiji la Tanga na madhari yake. Karibuni waja leo,kuondoka majaliwa. View attachment 3093758 Click to expand... Memories and molly said: Vijiji navyo mahaba au? Click to expand... Kotekote
kinguhj said: Nimekumegea sehemu ndogo ya jiji la Tanga na madhari yake. Karibuni waja leo,kuondoka majaliwa. View attachment 3093758 Click to expand... Memories and molly said: Vijiji navyo mahaba au? Click to expand... Kotekote
Chachasteven JF-Expert Member Joined Jul 4, 2014 Posts 1,941 Reaction score 2,048 Sep 12, 2024 #4 Majina ya mitaa kwa namba. Nimebahatika kufika Tanga mara mbili, ila kili nilipokuwa nikifika hapo ilinilazimu kuondoka. Hapakunivutia kabisa.
Majina ya mitaa kwa namba. Nimebahatika kufika Tanga mara mbili, ila kili nilipokuwa nikifika hapo ilinilazimu kuondoka. Hapakunivutia kabisa.
The Eric JF-Expert Member Joined Feb 23, 2019 Posts 6,555 Reaction score 11,251 Sep 12, 2024 #5 Chachasteven said: Majina ya mitaa kwa namba. Nimebahatika kufika Tanga mara mbili, ila kili nilipokuwa nikifika hapo ilinilazimu kuondoka. Hapakunivutia kabisa. Click to expand... Pole sana Tanga kuzuri sana.
Chachasteven said: Majina ya mitaa kwa namba. Nimebahatika kufika Tanga mara mbili, ila kili nilipokuwa nikifika hapo ilinilazimu kuondoka. Hapakunivutia kabisa. Click to expand... Pole sana Tanga kuzuri sana.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,527 Reaction score 830,085 Sep 13, 2024 #6 kinguhj said: Nimekumegea sehemu ndogo ya jiji la Tanga na madhari yake. Karibuni waja leo,kuondoka majaliwa. View attachment 3093758 Click to expand... Kuna kitu umeonjeshwa tayari... Angalia usije ukanogewa...😀
kinguhj said: Nimekumegea sehemu ndogo ya jiji la Tanga na madhari yake. Karibuni waja leo,kuondoka majaliwa. View attachment 3093758 Click to expand... Kuna kitu umeonjeshwa tayari... Angalia usije ukanogewa...😀
BabuFey JF-Expert Member Joined Feb 13, 2023 Posts 2,400 Reaction score 3,799 Sep 13, 2024 #7 Tanga sijui siku hizi La Casa Chica bado ipo na vichangu vyake vya bei poa maana wa kule Chuda baa za Wachgga nilianziwa 60000 wakati kule La Casa Chica 15000. Tuelezeni wazinzi machimbo mengine tukija kuvinjari Jiji lenu.
Tanga sijui siku hizi La Casa Chica bado ipo na vichangu vyake vya bei poa maana wa kule Chuda baa za Wachgga nilianziwa 60000 wakati kule La Casa Chica 15000. Tuelezeni wazinzi machimbo mengine tukija kuvinjari Jiji lenu.