Jiji la Arusha lime zidi uchafu

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
8,721
13,959
Sote tuna jua hali halisi ya hizi mvua zinazo nyesha.
Kata ya Osunyai iliyoko jiji la Arusha imekuwa chafu kiasi cha kusikitisha.
Mkandarasi alie pewa kazi ya kusomba taka amekuwa ana acha taka zaidi ya wiki tatu bila kuzi chukua.
Watoto wana chezea taka.
Ikitokea kipindupindu tuta sikia serikali ya mkoa iki toa matamko.
Nashauri tusi subiri hali mbaya.
Bwana afya wa jiji na kata fanyeni jambo kuepuka yatokanayo
 
Majiji yote Tanzania ni machafu!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Usijali siku ya maandamano ya Chadema majeshi yatafanya usafi 🤧
 
Sote tuna jua hali halisi ya hizi mvua zinazo nyesha.
Kata ya Osunyai iliyoko jiji la Arusha imekuwa chafu kiasi cha kusikitisha.
Mkandarasi alie pewa kazi ya kusomba taka amekuwa ana acha taka zaidi ya wiki tatu bila kuzi chukua.
Watoto wana chezea taka.
Ikitokea kipindupindu tuta sikia serikali ya mkoa iki toa matamko.
Nashauri tusi subiri hali mbaya.
Bwana afya wa jiji na kata fanyeni jambo kuepuka yatokanayo
Siyo uchafu tu Arusha hakuna maji hasa Njiro siku ya saba leo, barabara mbovu hazifai ni kama hakuna serikali
 
Back
Top Bottom