View attachment 560874 Kwa mara ya kwanza jiji la arusha limerikodi ongezeko kubwa la idadi ya watalii nchini tofauti na vipindi vilivyopita
View attachment 560875
Ambapo mpaka sasa imerikodi watalii zaidi ya millions 2.3 ikiwa ni ongezeko la 47% huku kampuni za kitalii expeditions zikiongezeka kwa 31% hali inayotafsiriwa kama kiashiria kizuri cha sector hiyo nchini. View attachment 560876View attachment 560877
Company ipi hiyo? Zitakua za poaching sababu ndio wanaokula joto ya jiwe saivi, saivi mpaka makosta ya Arusha to Moshi yanabeba watalii we unasema magari yanauzwaCha ajabu Ma co. Ya tours mengine yanauza Magari yao kwa kukosa kazi,Ma dereva wanalalamika watalii ni wachache sana.
Arusha ya sasa hivi sio ile iliyozoeleka aisee,kipindi kile watalii wa kutosha na pesa ilikua inaonekana sana.
Sawa we si unataka ligi?Tufanye yalikua ya poaching.Company ipi hiyo? Zitakua za poaching sababu ndio wanaokula joto ya jiwe saivi, saivi mpaka makosta ya Arusha to Moshi yanabeba watalii we unasema magari yanauzwa
Mkuu, Weka na picha za Unga Sheraton, Sekei, Unga Limited, Kijenge na Matejoo!.
Sasa wewe na yeye anayetaka ligi ni nani..??Sawa we si unataka ligi?Tufanye yalikua ya poaching.
Muriet kule Lami imefika mpaka Dampo..ni ulaya tuuHahaha mbona hata huko pako fresh tu.
ajabu lingine ni kwamba idadi ya watalii mbuga za wanyama inaongezeka kila mwaka....Cha ajabu Ma co. Ya tours mengine yanauza Magari yao kwa kukosa kazi,Ma dereva wanalalamika watalii ni wachache sana.
Arusha ya sasa hivi sio ile iliyozoeleka aisee,kipindi kile watalii wa kutosha na pesa ilikua inaonekana sana.
Kabla ya kuuliza hayo, Je mnazijua vigezo vya mji kufanywa jiji?
AmenMkono wangu ukatike nikikusahau ewe Arusha..