Jiji chafu na linanuka.....lol

Rutashubanyuma nakupongeza sana kwa post yako na moyo wa kujituma, napendekeza member wengine tuige mfano wako katika kuhabarishana.
 

Baadae Msaada tutani ulibidi uchukue nafasi yake ili kufanya mambo mengine yaende kama yanavyotakiwa.

HII NDIO BONGO DASLAMAA NA HUU NDIO MPANGOOOO.

Hapo dereva lazima tu aliwakatia kitu kidogo washikaji..... haa haaa haa teh teh.... ccm oye!!!!
 

Dereva wa gari hilo akimpigia mkandarasi wa ujenzi huo kumwambia kuwa mambo bado hayajakaa sawa katika eneo hilo.
naona shangingi la mkubwa likipita nyuma ya hiace hapo....wao wana pesa(mafisadi) migar i yao haina shida na bara bara mbovu ...mtajibeba
tupeni kura tupeni kura a
aeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 

Nakumbuka mwaka 2008 kuna mzalendo alitaka ku invest katika kutoa taka na akwapa proposal yake kwa yule meya wa jiji Mrangi jina nimelisahau...Jibu aliyopewa inasikitisha sana.

Ndio maana wazalendo wengi ambao wana uchungu wa kuendeleza nchi yetu na nchi wanashindwa kufanya kitu kwa sababu ya urasimu na rushwa.

Hatuna viongozi wazalendo wote wako pale kwa manufaa yao binafsi.
 

Kila lundo la takataka lipewe jina la kiongozi wa manispaa, wananchi, makonda na madereva wa daladala wahamasishwe kubadilisha majina ya vituo vya kawaida na kuita shimo la taka so and so. Itawakera na watawajibika kuyaondoa haraka sana. Kwa mfano lundo kubwa la takataka lipewe jina la mwenyekiti wa ALAT, nateremkia shimo la taka masaburi.

In a weeks time hakutakuwa na taka mjini.

Lets give it a try
 
Home of great thinkers

Naomba picha ya dampo la takataka Oysterbay au Masaki.

Au hayo maeneo sio Dar es salaam? Au meya wetu na mkuu wa alat anaweka juhudi za ziada huko? Na kama ndio kwa nini?

Tujadili great thinkers!!!!!
 
Kuna Serikali kweli huko Bongo? Au kuna wizi mtupu naona hakuna Serikali hata mambo ya usafi hakuna Ehhhh Nchi kweli imeoza Viongozi

hawaoni hiyo ? Wamefumba Macho tu kana kwamba vipofu. Sisi tumekuwa ni Vipofu na Viongozi wetu pia ni vipofu kama alivyosema bwana Yesu

na Kipofu akimuongoza Kipofu Mwenzie basi wote wawili Watatumbukia shimoni Mwenyeezi Mungu isaidie Nchi yetu tupate viongozi wanayoipenda Nchi yetu Ameen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…