Jihadharini na wizi huu wa "mikopo" ya kampuni za simu!

Kuna kitu mnasahau, huu sio wifi maana masharti na vigezo huzingatiwa. mkopaji awali ya note anaelezwa asome masharti na ayaelewe na katika fatua ya mwisho wa kukopa unaambiwa uthibitishe kuwa umeelewa masharti na riba tajwa wakati wa marejesho.

hata hyvo dharura huka bila hödi, voucher unaishiwa usiku wa manane au maduka yashafungwa unafanyaje? na dharura ni muhimu haiwezi subiri kukuche?

na sio mkopo unachukua kwa ajili ya biashara, bali sa zingine unachukua kwa dharura huna jinsi umebanwa.

nawapongeza mitandao ya sims kwa kuwasaidia wanyonge.

pata shida na huna wa kukusaidia, ndo utafahamu umuhimu wa huduma hizi ukiringanisha faida yake na ruba kubwa, ipi inafaida kwako?

bg_dg_dy Nawasilisha
 
Hawatakiwi kuishia kusema watu waache bali wakemee huu wizi ama laa wawape kanuni za ukopeshaji,haiwezekani wenye mamlaka watoe kauli nyepesi tu eti epukeni badala ya kuwadhibiti.
 
TCRA as a Watchdog wa hii mitandao ya simu wamelala sana.. wananchi wanaibiwa sana ktk mikopo ya kihuni kama hii, pia internet, sijui vifurushi, TCRA wako kama wamekufa vile, na sbb sio kwamba hawaoni, wanajua kila kitu, ila TCRA wanasema hawawezi kufanya lolote hadi wapelekewe malalamiko in writings.. What the hell is this? Yaani TCRA wanajua kabisa uwizi wa wazi unaofanywa na haya makampuni ya simu, ila wanasubiria hadi wapewe malalamiko na wananchi tena kwa maandishi ndio waanze kufuatilia.. Yaani TCRA inafaa iwe chini ya TISS kwa 100% ili ishike adabu, Mh. Rais wangu JPM, itupie TCRA jicho kali kila muda kama BANDARI, TRA na Wizara ya Nishati na Madini ulivyofanya.. TCRA lazima iwekwe chini ya uangalizi maalum 24/7.. Kabisa
 
Back
Top Bottom