T tech_master New Member Joined Mar 20, 2013 Posts 2 Reaction score 0 Oct 19, 2013 #1 Kuna link nimekuwa nikizipata kuwa wadau wananiambia nijiunge.! getpaid4visits.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job Lakini kwa kuiangalia inaonekana ni kama aina ya utapeli fulani hivi, so kuweni macho wadau.
Kuna link nimekuwa nikizipata kuwa wadau wananiambia nijiunge.! getpaid4visits.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job Lakini kwa kuiangalia inaonekana ni kama aina ya utapeli fulani hivi, so kuweni macho wadau.