Jihadharini na Oman Air

Uchunguzi hadi uwepo eneo la tukio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niwaambie tu ukweli ndugu zangu,Watu weupe wote duniani Naturaly hawamkubali mtu mweusi kwa namna yeyote ile hata leo hii ukiona wanakusifu sio kutoka moyoni wana sababu zao Tuuu!
 
Watu wengi mnachangia kiushabiki Mimi mwenyewe nilishuhudia kijana wa kitanzania walimrudishia Dar bila sababu za msingi wakati ana visa,barua ya mwaliko,amelipia hotel,Oman air ni washenzi Sana hiyo tabia ya kuwa warudisha abiria hapo mascut ni ya muda mrefu sema wa Tz wengi kifanyiwa vitendo kama hivyo wanakaa kimya
 
Kwa hiyo walimwambia tu hupandi?hapi kama sio viza zake ,passportt yapo makaratas hajakaa sawa na shirika la ndege litakalo mbeba linaqajibika kumrudisha ikiwa huko mbele yasafari akikataluwa entry.
Ongea na ndugu yako vzr akuambie fyo go yake watu tunasafairi kila siku na kuna wabongo kibao wameajiriwa kwe ye mradi mkubwa qa mwendo kazi hapo oman mbona hawajazuiwa?
Weka fact zako sawa teta na ndugu yako mlusolve

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu haijatokea kwako hawa jamaaa ni wabaguzi sana,mtu mweusi akipita airport yao hata kama una passport ya USA wanakusumbua
Hivi unajua kuwa pale muscat wapo wahudumu wengi ambao kiasili ni watanzania? Mm hadithi yako sijaikubali mpaka uweke post ya katazo maana lazima kuna officer incharge aliyetoa zuio tena litakuwa recorded kimaandishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina ushahidi salimia 100 siku hao watz wanazuiwa kubadilisha Ndege kwenda London nilikuwepo hapo airport Gate A6
 
Siwezi kupinga moja kwa moja ila tunajua watu wa airline kazi yao ni kuangalia una viza ya unakokwenda na wanakuruhusu ikitokea wakakuzuia lazima wakupe reason in written ila kwa US wao kwa mashirika ya nchi za kiarabu huwa wanaweka watu wao wa immigration kwenye airport za waarabu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ndege yao inakuja kufanya nini huku?umeshwahi kujiuliza hilo?mm hii hoja nitaipinga mpka siku ya ufalme ujao!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna safari inayokatishwa bila sababu.inawezekana alipita airport ya dar kwa watu kukosa umakini,au kuna taarifa iliwafikia oman air juu ya huyo mtu na kutoruhusiwa kuendelea na safari kwenda uingereza.lazima kuna sababu na aliambiwa
 
Aliwaomba wampe sababu za yeye kuzuiwa Kwa barua wakagoma,wakaenda Help desk kuwaeleza nao wakawa wanashangaa kitengo hicho
 
Huenda haya mambo yakawepo aisee. Nimebahatika kupanda Turkish Airways ...
Huwa wanapanga watu weusi sehemu moja hasa nyuma kabisa. Nilijiuliza hii inatokeaje hivi bookings zikafuatana kulingana na rangi.
 
Usiwe mbishi watu wengi wamezuiwa kuingia kwenye Ndege ya Oman air kwenda others destination na ushahidi upo,

Unapokuwa unaenda Ulaya/marekani kuna umuhimu sana wa kuchugua shirika la ndege na kama kuna connecting flights chagua viwanja visivyokuwa na mlolongo mrefu wa inspection...mfano Schiphol utahojiwa na kuonesha docs ukiwa ni mweusi ...wakati weupe wanapita tu kwa kupewa tabasamu.

Najivunia kuwa mweusi.

Iko siku tutaheshimiana.
 
Hizi saa nyingine huwa ni hisia zenu tu, ubaguzi upo kweli ila suala la kuonesha docs halihusiani na rangi ya ngozi kwa sababu mimi nimepita hapo Schiphol mara nyingi sana na mara zote wote tunakaguliwa, docs, haijalishi rangi za wahusika.
 
Iternstional airline haina ubaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…