Labda baadhi ya wafanyakazi ni wabaguzi maana Kwenye wema na waovu wapo vilevile hata kwa mazingira ya hapa Tanzania kuna ofisi ukienda mfanyakazi mungine ana kiburi mungine yupo freshiNapenda kuwatahadhirisha watanzania wenzangu ambao mnategemea kusafiri either kibiashara, kimasomo au matembezi msisafari na Ndege za Oman air.
Kuna ndugu yangu alikuwa anaenda UK, kwenye mkutano na ni mfanyakazi wa serikali ana visa ,barua ya mwaliko na kibali cha kusafiri nje.
Cha ajabu alipofika Muscat walimzuia kupakia Ndege ya kwenda London,
Amejaribu kuulizia sababu za yeye kuzuiwa,hawasemi,baada ya uchungaji tukagundua waliomzuia asisafiri sio immigration officer Bali ni watumishi wa Oman air,watu wengi sana wanazuiwa especially black people
Kama una ndugu au jamaa asipande hii Ndege watamrudisha
Sio kweli passport yangu ni ya 11 duniani kwa nguvu (most powerful)Kwa sababu haijatokea kwako hawa jamaaa ni wabaguzi sana,mtu mweusi akipita airport yao hata kama una passport ya USA wanakusumbua
Unatumiwa vbaya wewe kwanini unajichafulia utambulisho wako!!!?Napenda kuwatahadhirisha watanzania wenzangu ambao mnategemea kusafiri either kibiashara, kimasomo au matembezi msisafari na Ndege za Oman air.
Kuna ndugu yangu alikuwa anaenda UK, kwenye mkutano na ni mfanyakazi wa serikali ana visa ,barua ya mwaliko na kibali cha kusafiri nje.
Cha ajabu alipofika Muscat walimzuia kupakia Ndege ya kwenda London,
Amejaribu kuulizia sababu za yeye kuzuiwa,hawasemi,baada ya uchungaji tukagundua waliomzuia asisafiri sio immigration officer Bali ni watumishi wa Oman air,watu wengi sana wanazuiwa especially black people
Kama una ndugu au jamaa asipande hii Ndege watamrudisha
Duh unawatishia wataogopa kwendaKwanini wakati hata wanawake wetu wanaofanya kazi za ndani wanaf*rwa kila siku Mabulushi yanapeana zamu na WaOmani.
Napenda kuwatahadhirisha watanzania wenzangu ambao mnategemea kusafiri either kibiashara, kimasomo au matembezi msisafari na Ndege za Oman air.
Kuna ndugu yangu alikuwa anaenda UK, kwenye mkutano na ni mfanyakazi wa serikali ana visa ,barua ya mwaliko na kibali cha kusafiri nje.
Cha ajabu alipofika Muscat walimzuia kupakia Ndege ya kwenda London,
Amejaribu kuulizia sababu za yeye kuzuiwa,hawasemi,baada ya uchungaji tukagundua waliomzuia asisafiri sio immigration officer Bali ni watumishi wa Oman air,watu wengi sana wanazuiwa especially black people
Kama una ndugu au jamaa asipande hii Ndege watamrudisha
baada ya kumzuia ikawaje ?Napenda kuwatahadhirisha watanzania wenzangu ambao mnategemea kusafiri either kibiashara, kimasomo au matembezi msisafari na Ndege za Oman air.
Kuna ndugu yangu alikuwa anaenda UK, kwenye mkutano na ni mfanyakazi wa serikali ana visa ,barua ya mwaliko na kibali cha kusafiri nje.
Cha ajabu alipofika Muscat walimzuia kupakia Ndege ya kwenda London,
Amejaribu kuulizia sababu za yeye kuzuiwa,hawasemi,baada ya uchungaji tukagundua waliomzuia asisafiri sio immigration officer Bali ni watumishi wa Oman air,watu wengi sana wanazuiwa especially black people
Kama una ndugu au jamaa asipande hii Ndege watamrudisha
Napenda kuwatahadhirisha watanzania wenzangu ambao mnategemea kusafiri either kibiashara, kimasomo au matembezi msisafari na Ndege za Oman air.
Kuna ndugu yangu alikuwa anaenda UK, kwenye mkutano na ni mfanyakazi wa serikali ana visa ,barua ya mwaliko na kibali cha kusafiri nje.
Cha ajabu alipofika Muscat walimzuia kupakia Ndege ya kwenda London,
Amejaribu kuulizia sababu za yeye kuzuiwa,hawasemi,baada ya uchungaji tukagundua waliomzuia asisafiri sio immigration officer Bali ni watumishi wa Oman air,watu wengi sana wanazuiwa especially black people
Kama una ndugu au jamaa asipande hii Ndege watamrudisha
Kitu Bwana FlyEmirates chakula kizuri wahudumu wapoole vinywaji kemkem..sio kunyweshwa kahawa tungu kwenye Omani Air unafika utasema umeenda na Roli.
Sasa Ethiopian Airlines na Congo Air ni sawsawa wote maabidi.sasa flyemirates ni wakina nani ya wazungu au watu weusi si haohao waarabu
Mkuu Air Somaliland ndio ina Baraka Alshababu waliitegea Bomu lakini kilichotokea huwezi kuamini.Utapandaje Oman Air kwa mfano?
Ni kama upande Air Congo au air Zaire au Air Iran au Air Afgaanistan.
Lolote linaweza kukutokea.
Muwe mnapanda brand.
Kaka uko sawa , hawa wenzetu wanatubagua sana lkn wakija huku kwetu sisi tunawakweza na kuwatukuza, nampenda Raisi wetu wa sasa anavyowapa "right Treatment"! ni wakati wetu kujiinua sisi wenyewe.Tangiapo hawa wenzetu wawe whites, browns or whatever wanamnyanyapaa sana mtu mweusi. Sisi tulitakiwa tujipende sisi kwa sisi, lakini ni kinyume chake . Sisi hatujipendi sisi kwa sisi badala yake tunawahusudu hao watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetumwa na walioichimbia kaburi Fastjet?Napenda kuwatahadhirisha watanzania wenzangu ambao mnategemea kusafiri either kibiashara, kimasomo au matembezi msisafari na Ndege za Oman air.
Kuna ndugu yangu alikuwa anaenda UK, kwenye mkutano na ni mfanyakazi wa serikali ana visa ,barua ya mwaliko na kibali cha kusafiri nje.
Cha ajabu alipofika Muscat walimzuia kupakia Ndege ya kwenda London,
Amejaribu kuulizia sababu za yeye kuzuiwa,hawasemi,baada ya uchungaji tukagundua waliomzuia asisafiri sio immigration officer Bali ni watumishi wa Oman air,watu wengi sana wanazuiwa especially black people
Kama una ndugu au jamaa asipande hii Ndege watamrudisha
Ulikuwa huna Govi AIR IRAN kama unalo hawakuruhusu wanasema utanajishi vyoo vilivyobarikiwa na Ayatollah Khomeini.
Sio wote! Mimi msichana alionitoa bikra yangu alikuwa Muomani...Chugha sana mdomo wako.Kaka uko sawa , hawa wenzetu wanatubagua sana lkn wakija huku kwetu sisi tunawakweza na kuwatukuza, nampenda Raisi wetu wa sasa anavyowapa "right Treatment"! ni wakati wetu kujiinua sisi wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app