mzee wa manzese
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 670
- 217
Dawa ni kutumia mkorogo tuNapenda kuwatahadhirisha watanzania wenzangu ambao mnategemea kusafiri either kibiashara, kimasomo au matembezi msisafari na Ndege za Oman air.
Kuna ndugu yangu alikuwa anaenda UK, kwenye mkutano na ni mfanyakazi wa serikali ana visa ,barua ya mwaliko na kibali cha kusafiri nje.
Cha ajabu alipofika Muscat walimzuia kupakia Ndege ya kwenda London,
Amejaribu kuulizia sababu za yeye kuzuiwa,hawasemi,baada ya uchungaji tukagundua waliomzuia asisafiri sio immigration officer Bali ni watumishi wa Oman air,watu wengi sana wanazuiwa especially black people
Kama una ndugu au jamaa asipande hii Ndege watamrudisha
nilidhani dawa ni kupanda Dream-liner na bombardier zetu.Dawa ni kutumia mkorogo tu
Mtoa kasema tatizo ni kuwa nweusinilidhani dawa ni kupanda Dream-liner na bombardier zetu.
Kwanini wakati hata wanawake wetu wanaofanya kazi za ndani wanaf*rwa kila siku na Mabulushi yakipeana zamu na WaOmani.Haimake sense
Napenda kuwatahadhirisha watanzania wenzangu ambao mnategemea kusafiri either kibiashara, kimasomo au matembezi msisafari na Ndege za Oman air.
Kuna ndugu yangu alikuwa anaenda UK, kwenye mkutano na ni mfanyakazi wa serikali ana visa ,barua ya mwaliko na kibali cha kusafiri nje.
Cha ajabu alipofika Muscat walimzuia kupakia Ndege ya kwenda London,
Amejaribu kuulizia sababu za yeye kuzuiwa,hawasemi,baada ya uchungaji tukagundua waliomzuia asisafiri sio immigration officer Bali ni watumishi wa Oman air,watu wengi sana wanazuiwa especially black people
Kama una ndugu au jamaa asipande hii Ndege watamrudisha
ukiambiwa leta ushahidi unao?Kwanini wakati hata wanawake wetu wanaofanya kazi za ndani wanaf*rwa kila siku Mabulushi yanapeana zamu na WaOmani.
Kwa sababu haijatokea kwako hawa jamaaa ni wabaguzi sana,mtu mweusi akipita airport yao hata kama una passport ya USA wanakusumbuaHaimake sense
sio kweli kuwa Mweusi ndio tatizoMtoa kasema tatizo ni kuwa nweusi
Kuna waliorudi na Smartphone na wamerekodi kilakitu.ukiambiwa leta ushahidi unao?
Acha kusikia habari za watu tembea uoneTangiapo hawa wenzetu wawe whites, browns or whatever wanamnyanyapaa sana mtu mweusi. Sisi tulitakiwa tujipende sisi kwa sisi, lakini ni kinyume chake . Sisi hatujipendi sisi kwa sisi badala yake tunawahusudu hao watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda kuwatahadhirisha watanzania wenzangu ambao mnategemea kusafiri either kibiashara, kimasomo au matembezi msisafari na Ndege za Oman air.
Kuna ndugu yangu alikuwa anaenda UK, kwenye mkutano na ni mfanyakazi wa serikali ana visa ,barua ya mwaliko na kibali cha kusafiri nje.
Cha ajabu alipofika Muscat walimzuia kupakia Ndege ya kwenda London,
Amejaribu kuulizia sababu za yeye kuzuiwa,hawasemi,baada ya uchungaji tukagundua waliomzuia asisafiri sio immigration officer Bali ni watumishi wa Oman air,watu wengi sana wanazuiwa especially black people
Kama una ndugu au jamaa asipande hii Ndege watamrudisha
weke hapa kama waKuna waliorudi na Smartphone na wamerekodi kilakitu.
sio kweli mimi napita sana Seeb Airport hakuna ubaguziKwa sababu haijatokea kwako hawa jamaaa ni wabaguzi sana,mtu mweusi akipita airport yao hata kama una passport ya USA wanakusumbua
Sasa niweke picha ya Msichana wa kitanzania anapigiliwa muhogo na mbulushi?!weke hapa kama wa
AMBER LUTY.
Aliyekuwa anamwamba Luty ni Mabulushi ?