Mr Robati za Toronto -Ontario ndugu yangu naona huyu mtoto wa Baba wa Taifa anafurahia ufisadi wa mapenzi kwa kutaja vifungu vya Bible hakika atalaniwa
Hehehe! Huku salama kabisa ndugu.
Yes haifai kabisa kuchanganya masuala ya Imani na mambo kama haya ya matamanio ya kibinadamu, kama ya huyu bwana Majura.
Vipi ule mgogoro wenu na Tunguli mliumaliza?
Hehehe! Huku salama kabisa ndugu.
Yes haifai kabisa kuchanganya masuala ya Imani na mambo kama haya ya matamanio ya kibinadamu, kama ya huyu bwana Majura.
Vipi ule mgogoro wenu na Tunguli mliumaliza?