Jihadharini na huu Utapeli

Jihadharini na huu Utapeli

SAM BILGATE

Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
28
Reaction score
6
Wana jamvi habarini za mihangaiko ya kila siku!

Napenda kuwatahadharisha wale waliofanya aptitude test ya Mwanza Community Bank (MCB) kwa ajili ya kupata watu 20 watakaoenda kupata training, hawa jamaa ni MATAPELI na nikiwa kama mmojawapo wa waliofanya ile test, nimetumiwa msg leo asubuhi kutoka kwa mtu anaejiita Mwesiga Pius simu no. 0764171699 kama inavyoonekana:

''Za asubuhi/wiki hii/ kesho naanza sorting ya aptitude test zenu, nimeona test sheet yako, tusaidiane kitu, Unaweza kunitumia laki 3 kufikia kesho,then nakupitisha kuingia kwa orodha bila wasiwasi,then utanipa laki 1nyingine ukiwa training bt hili ni suala langu n WW tu, Unasemaje? Mwesiga Pius.
 
sasa tapeli ni mwesiga au MCB? kwanza unajuaje huyo jamaa anafanya kazi MCB?
 
sasa tapeli ni mwesiga au MCB? kwanza unajuaje huyo jamaa anafanya kazi MCB?

kapata wai namba ya simu ya mshikaji? kajuaje kama jamaa kfanya test hapo? lazima jamaa ana connection na hao mcb.
 
huyo mwesiga kweny tangazo la kazi si ndio alikua anahusika na hiyo ishu nzima ,alaf contact mbona rahc kupata si kwenye cv tu..hapo cha mcng ni hv kua bado haijafahamika kama ni matapeli au la,na kama kaz kweli ipo basi huyo mwesiga ndio tabia yake kuomba rushwa ili akupatie kazi na kama kaz ni ya uongo bc hao ni matapeli waliopitiliza watakua wamewasumbua sana watu hasa waliofanya hio test yao.
 
ahsante kwa habar hata mimi nilifanya hiyo test pia nimetumiwa hiyo meseji cha msingi nikuwa makin hamna kutoa pesa ukitoa tu utajuta kama ni kazi tutapata bila hongo mungu atajalia.
 
Kwa kuongezea, kuna umuhimu wa kufahamu kwamba kuna watu shughuli yao kubwa ya kiuchumi ni kufanya utapeli. Kwa hiyo matapeli wapo. kwa hakika tapeli anacheza na mind yako. Huwa anaamini kwamba binadamu siku zote anataka kutoka kwenye hali aliyokuwa nayo kwenda kwenye hali ya juu ambayo ni nzuri zaidi. yaani kama ni mgonjwa apone, kama una kesi ushinde n.k. Kwa hiyo tapeli anakuaminisha njia nyepesi ya kufanikiwa hilo lengo lako. Ushauri ni kwamba ufanye tathimini sawa sawa kwa njia za mteremko tunazopewa kabla ya kujiingiza.
 
huyu ni tapeli kweli, mm nimeenda hadi ofisi za mwanza community bank kuulizia hili suala, cha ajabu mcb wamekanusha kuwa na tangazo la kazi kwa miezi hii ya karibuni yaani ndani 2014, kuweni makin na hawa jamaa wanaojiita QUQLITY SERVICE GROUP, akina MWESIGA PIUS ni wezi wqa kwenye mitandao mpigieni 0764171699
 
nimefika ofisi za mwanza comunity bank hapa mwanza hakuna cha tangazo la kazi wala cha QUALITY SERVICE GROUP hata ukitafuta kwenye internet hakuna recruitment group hapa tanzania inayoitwa quality sevice group hawa ni wezi tu,
nashangaa kwa nini MCB wamekaa kimya kwa hili suala mpaka sisi wadau tunapata wasiwasi na mstakabali wa hiyo benki kama watakuwa makini na fedha za wadau
 
Duhhh!!
Asante kwa taarifa
 
Back
Top Bottom