Wakenya ni balaa jamani,kaingia tanzania miezi mitatu iliyopita kapiga majungu kwenye organisation hii ambayo ipo chini ya UN,kakuta watanzania wenye uwezo pale akawatumia kuandika report zake nakuhakikishia progam director ameamua kuachia ngazi na mkenya ananyemelea position baada ya kumweka coutry director sawa,jamani wakenya sio watu jihadhari sana nao
wasi wasi wako tuWakenya ni balaa jamani,kaingia tanzania miezi mitatu iliyopita kapiga majungu kwenye organisation hii ambayo ipo chini ya UN,kakuta watanzania wenye uwezo pale akawatumia kuandika report zake nakuhakikishia progam director ameamua kuachia ngazi na mkenya ananyemelea position baada ya kumweka coutry director sawa,jamani wakenya sio watu jihadhari sana nao
Wakenya ni balaa jamani,kaingia tanzania miezi mitatu iliyopita kapiga majungu kwenye organisation hii ambayo ipo chini ya UN,kakuta watanzania wenye uwezo pale akawatumia kuandika report zake nakuhakikishia progam director ameamua kuachia ngazi na mkenya ananyemelea position baada ya kumweka coutry director sawa,jamani wakenya sio watu jihadhari sana nao
nawakikishia wakenya ni balaa kwa kujipendekeza watu acheni
Mhhhhhhhhh!Siyo wa-Kenya tu Mkuu, hii tabia hata baadhi ya wa-TZ wanayo sana hii tabia!
Kabila linaloongoza hapa TZ kwa majungu kazini ni Wajita!! Na wewe taja wa kwako!!