Jihadhari na ulaji hovyo wa nyama choma

MAUBIG

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,040
Reaction score
859


Kwa wale ndugu zangu wa ulaji wa nyama choma hovyohovyo iko siku utakuja lishwa nyama ya huyo kiumbe anyeonekana hapo juu
kwa mfano umeingia hotel au kibanda cha chipsi ukaagiza nyama na ukaletewa kitu kama cha picha ya kati na ukajichana bila kujua

CHEERS GUYS
 

Labda kama wachina wamevamia kazi/biashara ya kina Mangi (wachagga wa kibosho)! Naona mikono picha ya kwanza.., nadhani atakuwa mchoma nyama wa kichina!
 
Labda kama wachina wamevamia kazi/biashara ya kina Mangi (wachagga wa kibosho)! Naona mikono picha ya kwanza.., nadhani atakuwa mchoma nyama wa kichina!

Hawashindwi kitu hawa jamaa!Usishangae wakaua soko la kina Mangi na sisi tukaanza kupapatika kwamba nyama ya mchina tamu zaidi ya ile ya Mangi. Everything foreign is best to most of the Tanzanians.
 
Hawashindwi kitu hawa jamaa!Usishangae wakaua soko la kina Mangi na sisi tukaanza kupapatika kwamba nyama ya mchina tamu zaidi ya ile ya Mangi. Everything foreign is best to most of the Tanzanians.

Kama wachina wanakula na wanatumia akili zao vizuri kuliko sisi kwanini nisile na mimi niwe kama wao?
 
we unadhani ujala umeisha kula iyoooooooo
 
China hiyo...sisi huku tule tu...kan nini bana
 
Kama wachina wanakula na wanatumia akili zao vizuri kuliko sisi kwanini nisile na mimi niwe kama wao?

Wazo zuri, vyakula tunavyokula ni janga na kama hatutajifunza kutoka kwa wengine litaendelea kuwa janga; wachina hawana magonjwa mengi kama sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…