rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 13,251
- 16,616
Kuna matapeli humu mtandaoni na hawana hata haya na woga, nilishawahi kuuziwa powerbank mbovu kupitia mtandao wa instagram. Sasa leo yamemkuta shoga yangu kajiunga na group ya wanamitindo ya kitapeli huko insta waliwaambia watume picha akaambiwa kashinda kuunganishwa na group la mamodo elf5
Imefikia kusaini mkataba wa kazi nao elf15 na aliyewaunganisha hataki kuwapeleka kwa management yeye ni hadithi tuu! Mkataba hauna address namba ya simu ni ya admin na ofisi haijulikani wapi hawaelewi wanafanyaje!
Account yenyewe ni jumba la mamodel