Mkaa Mweupe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 654
- 187
Hahahahaha hii kali sana! Kuna nilikuwa narudi home baada ya misele pale mjini, kupita karibu na water front lile jengo la NSSF nilisimamishwa na polisi wawili. NIliposimama waliniomba lifti wanakwenda mtoni Mtongani, nami nilikuwa naenda njia hiyo. Nikawabeba tukawa tunakata storiez, walipofika nikawatelemsha. Kumbe waliuposhuka waliteremka na Nyama yangu Kg 3 na chupa za maji bahati nzuri laptop niliihamishia mbele. Nafika home nashusha mizigo ndipo nilipogundua.....mdogo wangu akaniambia polisi ndo zao hizo ukiwabeba hamishia vitu kwenye boot! Polisi anayeiba Kg 3 za nyama unategemea atakwepa rushwa ya 2000?

Kumbe waliuposhuka waliteremka na Nyama yangu Kg 3 na chupa za maji bahati nzuri laptop niliihamishia mbele. Nafika home nashusha mizigo ndipo nilipogundua.....mdogo wangu akaniambia polisi ndo zao hizo ukiwabeba hamishia vitu kwenye boot! Polisi anayeiba Kg 3 za nyama unategemea atakwepa rushwa ya 2000?
Hahahahaha umenichekesha sana mpaka umenipandisha kiu ngoja nikale kachupa kamoja.
Ulikosea ulishindwa hata kuwapa buku 2 wagawane angalau wapate Mountain Dew,
Pole mzee bora kama haikuwa nyama ya mbuzi au Mwanaharamu.
Masanilo,Umenikumbusha machungu-aaagh!Nilisimamishwa na trafiki kuwa kuna kizee kinataka lift kwenda mjini,pamoja na uchovu wa safari natoka mkoani,nikakubali.Mbele nilikuwa na vitu kibao,nyuma nimeweka koti ndani lina simu na pochi ina docs tu.Hahahahaha hii kali sana! Kuna nilikuwa narudi home baada ya misele pale mjini, kupita karibu na water front lile jengo la NSSF nilisimamishwa na polisi wawili. NIliposimama waliniomba lifti wanakwenda mtoni Mtongani, nami nilikuwa naenda njia hiyo. Nikawabeba tukawa tunakata storiez, walipofika nikawatelemsha. Kumbe waliuposhuka waliteremka na Nyama yangu Kg 3 na chupa za maji bahati nzuri laptop niliihamishia mbele. Nafika home nashusha mizigo ndipo nilipogundua.....mdogo wangu akaniambia polisi ndo zao hizo ukiwabeba hamishia vitu kwenye boot! Polisi anayeiba Kg 3 za nyama unategemea atakwepa rushwa ya 2000?
Masanilo,Umenikumbusha machungu-aaagh!Nilisimamishwa na trafiki kuwa kuna kizee kinataka lift kwenda mjini,pamoja na uchovu wa safari natoka mkoani,nikakubali.Mbele nilikuwa na vitu kibao,nyuma nimeweka koti ndani lina simu na pochi ina docs tu.
Nikakieleza kizee kikae nyuma maana kilikuwa na barakashia na kifimbo, nikajua huyu tena akiiba basi twende kazini.Simu nilikuwa nimeizima kwa sababu nisingeweza kuzipokea.Kuingia Ubungo huruma ikanituma,nikakiuliza kwani unaelekea wapi babu?Kikasema posta mwanangu.
Kwa sababu nilikuwa nafikia mitaa hiyo, nikakiteremsha posta ya zamani. Nikaenda mbele kidogo nikaamua kuwasha simu-hamna kitu,kuangalia pochi haipo, nikarudi pale posta ya zamani,nikakikuta ndio kinaelekea upande mwingine wa mabasi,nikamwambia mzee samahani inabidi niku search nikikuta huna ninachokitafuta nitakulipa tu. Kuanza mfuko wa kwanza nakutana na pochi, kuingia kwenye kanzu nakuta simu, nikaaapa labda awe baba yangu mzazi!:angry:
dunia haijaharibika, wameharibika watu, sasa wamebaki wanyama wengi, maana watu wenye utu ni wa kuhesabu!!!Tahadhari: Tuendelee kuishi kwa amani ila tusiwe na imani na kila tumwonae, dunia imeharibika!