Papa Mobimba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 1,153
- 1,359
Nimeweka link ya YouTubeWeka ushahidi tuthibitishe Ukwel wako
We are all nakedNothing to hide anymore
Labda Wamarekani waibane isiwe inahifadhi kila information za watumiajiishi zako kama osama ukitaka kuwasiliana unatumia codes tu kwenye kipande cha karatasi
mtu wako wa karibu akitaka kuwasiliana inabidi atoke labda tuseme mwanza aitafute chato ndipo apige simu na akimaliza...
ukigoogo kitu afu uka shuka mpaka chini unaoneshwa lokesheni ulipo kudadekLabda Wamarekani waibane isiwe inahifadhi kila information za watumiaji
Nakuambia Google wanajua mpaka muda unapokuwa kifuaniukigoogo kitu afu uka shuka mpaka chini unaoneshwa lokesheni ulipo kudadek
JihadhariAcheni uongo wenu...Sio kila kitu google wanajua
Jihadhari
Google wanaweza kukusanya taarifa zako hata kama hujawapa access hiyoNajihadhari ndio lakini msiwaaminishe watu kuwa Google ndio kila kitu
Wanajua lakini kwamba jamaa anapiga nyetogoogle wananijua vizuri lakini wameshindwa kujua muda wangu sahihi wa kupiga nyeto.
kwa smartphone and PC's lakini...sio kila sehemu google inajua taarifa zakoGoogle wanaweza kukusanya taarifa zako hata kama hujawapa access hiyo
Hahaha duu [emoji23][emoji23]google wananijua vizuri lakini wameshindwa kujua muda wangu sahihi wa kupiga nyeto.
Offcourse kama hutumii kwa wakati huokwa smartphone and PC's lakini...sio kila sehemu google inajua taarifa zako