MziziMkavu hii kitu kwaukweli ukiconcentrate utajua kuwa hamna magic sababu karata za mwanzo hazipo..kinachopumbaza hapo ni hizo rangi ndiyo tu.mtu unafikiri karata ni zilezile sababu ya mchanganyiko wa rangi na kutafuta yakwako ukiikosa unaona it's magic.
But I appreciate the art. Jamaa aliyecome up with this idea alifikiria kidogo ndo maana wengi bado wanaamini kuwa its magic so for that nampa heshima yake