kozi ya kuruka na ungo itakuwepo.........?....kama ipo bei ni kiasi gani........?
JIFUNZE SAYANSI YA KIAFRIKA
UNGO AFRIKA ni taasisi inayo jihusisha na masuala ya utamaduni,mila na desturi za kiafrika . Tunapenda kuwatangazia watu wote kuwa tunatoa kozi maalumu ya kujifunza kozi iitwayo " SAYANSI YA KIAFRIKA". Katika kozi hii utajifunza namna ya kutumia NGUVU YA SAYANSI YA KIAFRIKA katika kukabiliana na masuala mbalimbali yanayo zunguka maisha ya kila siku ya mwanadamu kama vile (mapenzi/mahusiano, ndoa), biashara, kazi, ulinzi na magonjwa.
Tunapatikana jijini Dar Es salaam, na tunao wataalamu walio bobea katika sayansi ya kiafrika kutoka katika makabila yote ya Tanzania bara na visiwani. Wataalamu wetu wana ujuzi na uzoefu wa SAYANSI YA ASILI kutoka katika mataifa yote ya kiafrika,Arabuni na India.
Tupo jijini Dar Es salaam.
Masomo kuanza, tarehe 01 OKTOBA 2013
Kujiandikisha, tuandikie kupitia barua yetu : ungoafrika@gmail.com
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 25 SEPTEMBA 2013.
WAZUNGU WANAITA UCHAWI, LAKINI SISI TUNAITA, " SAYANSI YA KIAFRIKA"
KWA PAMOJA TUUNGANE KATIKA KULINDA NA KUENDELEZA, MILA,DESTURI NA TAMADUNI ZA MWAFRIKA.
Kwa updates kuhusu taasisi yetu na shughuli zetu, endelea kutembelea:
http:// www. ungoafrika.blogspot.com
Hayo makitu huwa nayatamani sana,aisee nitawavisit kesho.Kwenda Dubai na hayo mavitu inatumia muda gani?
Mkuu The Prezident huku ni mbali hawawezi kuja na hizo ndege zao za ungo zitaanguka njiani kwa kuishiwa mafuta ya ndege.Ni mbali sana huku na kuna wachawi wa kizungu huku wataweza kuzizuia hizo ndege za ungo za kiafrika,zisiweze kuruka angani tena.Mzizi Mkavu ... mbona unaniangusha Bwana? Umekuwa mzito ... unataka utumiwe feedback? Ungewataka waruke kiafrika watue hapo ughaibuni ... wakujulishe ...uwapokee wapi.