Jifunze namna ukiachwa uonekana umeacha....!!!

Yaani umeandika out of experience.

Mimi nikiachwa au nikiacha at this age sioni mbinu za kupunguza maumivu, so I have decided to take it how it comes.

Mkuu kuna watu wana live double life,mtu unaachana nae ndio unajua huyu kumbe yuko vile...lol,,,usiombee yakukute..anyway ni experience katika maisha,zinatu shape who we are today...tunakua more cautious katika mahusiano yetu.....so it’s a blessing in disguise,,,,,,,umesema kuhusu umri Becky ningependa kujua umri wako lol
 
Nakuelewa, na kwenye hilo nyie mnakuwa victims zaidi.

Hizi issue za mapenzi hazina uzoefu wala eti nimejifunza hili kwa hiyo sitarudia kosa. At least hilo ndiyo funzo nililolipata.

I hold no grudges kwa mtu niliyeshare naye intimacy ikitokea kuachana, formula yangu kubwa tu nachukulia kama huyo mtu ni marehemu.
 
Mkuu kosa sio kosa, kosa kurudia kosa,LOL yaani uumizwe halafu uwe mtu wa kuumizwa kila siku lol If anything I have learnt is not to fall in love with my heart only but with my head too...

People are different dear, if you don’t hold grudges,some people do!,utawashangaa walivyo na wewe wanakushangaa ulivyo.. that’s life!.. I agree though kuwa sijui kama sitaumizwa mbeleni,ila hii hainizuii mimi kuwa mwangalifu kutokana na niliyojifunza
 
Back
Top Bottom