abunerimgaya
Member
- Nov 13, 2012
- 78
- 15
Jamaa mmoja Mkazi wa Tabata
alikuwa anapanda kitandani
alale ,mara mkewe akamwambia
kua ameacha taa inawaka Bafuni,
jamaa akaamka akawa anaenda
kuzima Taa ....alipo fika Bafuni
akacheki cheki nje kulikua na
mbwa anabweka .
Kuangalia Vizuri kuna MAJAMBAZI
wameruka ukuta wa Home
kwakwe wanaiba vitu wanapakia
kwenye Gali lao .Mara Moja
akawapigia Simu POLISI
kuwaelezea kinacho endelea .na
mahali anapo ishi...
[POLISI ] "aroo hayo majambazi
yapo mangapi ?
[JAMAA] " kwa uoga wapo
Majambazi 5 "
[POLISI] " Okay kama upo
mwenyewe funga milango yote
yako ya ndani , maana kwa sasa
polisi wa PATROL wameisha na
waliopo wapo bizee ,watarudi
baada ya masaa mawili,
tunawatuma hapo nyumbani
kwako ,muda si mrefu"
[JAMAA] akakata simu kisha
akaesabu dakika 5 na kupiga
simu tena polisi " aloo nilipiga
simu dakika chache zilizo pita
kuhusu majambazi watano
wananiibia hapa nyumbani
kwangu ...msiwe na hofu tena ya
kujana nimewa piga Bastola wote
watano wamefariki naona MBWA
wangu anawa nusa nusa hapa
njee ...." kisha akakata simu.
Baada ya dakika 5 polisi walikuja
nyumbani kwa JAMAA wakiwa
wamevalia mavazi yao na
BULETPROOF za kutoshaaa na
kuvunja mlango kuingia ndani
kwenye nyumba ya
Jamaa....walifanikiwa
kuwachakaza majambazi na
kuwafunga pingu...
Kiongozi wapolisi akamuuliza
JAMAA , "aroo nafkiri ulisema
kuwa ume wa shoot wote
wakafa ? Unaretaa masihara na
POLISI afandee mpakie na yeye
twende nae kituoni "
[ JAMAA] " uonevuu Afande
Kwanza nafikiri mliniambia
Hamna askari wa patroo hapo
kituoni kwenu....imekuwaje hawa
10 ? wamefika fastaa"
alikuwa anapanda kitandani
alale ,mara mkewe akamwambia
kua ameacha taa inawaka Bafuni,
jamaa akaamka akawa anaenda
kuzima Taa ....alipo fika Bafuni
akacheki cheki nje kulikua na
mbwa anabweka .
Kuangalia Vizuri kuna MAJAMBAZI
wameruka ukuta wa Home
kwakwe wanaiba vitu wanapakia
kwenye Gali lao .Mara Moja
akawapigia Simu POLISI
kuwaelezea kinacho endelea .na
mahali anapo ishi...
[POLISI ] "aroo hayo majambazi
yapo mangapi ?
[JAMAA] " kwa uoga wapo
Majambazi 5 "
[POLISI] " Okay kama upo
mwenyewe funga milango yote
yako ya ndani , maana kwa sasa
polisi wa PATROL wameisha na
waliopo wapo bizee ,watarudi
baada ya masaa mawili,
tunawatuma hapo nyumbani
kwako ,muda si mrefu"
[JAMAA] akakata simu kisha
akaesabu dakika 5 na kupiga
simu tena polisi " aloo nilipiga
simu dakika chache zilizo pita
kuhusu majambazi watano
wananiibia hapa nyumbani
kwangu ...msiwe na hofu tena ya
kujana nimewa piga Bastola wote
watano wamefariki naona MBWA
wangu anawa nusa nusa hapa
njee ...." kisha akakata simu.
Baada ya dakika 5 polisi walikuja
nyumbani kwa JAMAA wakiwa
wamevalia mavazi yao na
BULETPROOF za kutoshaaa na
kuvunja mlango kuingia ndani
kwenye nyumba ya
Jamaa....walifanikiwa
kuwachakaza majambazi na
kuwafunga pingu...
Kiongozi wapolisi akamuuliza
JAMAA , "aroo nafkiri ulisema
kuwa ume wa shoot wote
wakafa ? Unaretaa masihara na
POLISI afandee mpakie na yeye
twende nae kituoni "
[ JAMAA] " uonevuu Afande
Kwanza nafikiri mliniambia
Hamna askari wa patroo hapo
kituoni kwenu....imekuwaje hawa
10 ? wamefika fastaa"