Jifunze kutambua redflags mapema na kuziepuka

Jifunze kutambua redflags mapema na kuziepuka

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
2,718
Reaction score
6,688
Kanuni nzuri ya maisha, ukimuona mtu hafai/ kuna dalili za kugombana Kati yako wewe na yeye usigombanenaye tafuta kila njia za kumkwepa na kumuwekea mipaka.

Siku zote kabla ya ugomvi au kukosana huwa kuna redflags zinaonekana mapema

Watu wabaya huwa hawaishi jifunze namna ya kuishinao na kuwaepuka

Wako mtiifu Volcano fire
 
Hakika, nilikuwa naona red flags kutoka kwa rafiki wa karibu sana ila nikazipotezea kwa kudhani kuwa jamaa hayupo serious. Mwenyewe ni mtu wa kubania vitu vyake, ila vya wenzie hupenda kuvitumia. Mwisho wa siku mimi ndiye muhanga maana jamaa amepita na pesa yangu ndefu.
 
pole sana ndg , huwa tunajifunza kupitia makosa naimani next time utakuwa makini zaidi
 
Kanuni nzuri ya maisha , ukimuona mtu hafai / kuna dalili za kugombana Kati yako wewe na yeye usigombanenaye tafuta kila njia za kumkwepa na kumuwekea mipaka ,,, sikuzote kabla ya ugomvi au kukosana huwa kuna redflags zinaonekana mapema

Watu wabaya huwa hawaishi jifunze namna ya kuishinao na kuwaepuka

Wako mtiifu Volcano fire
We unazungumzia kugombana naye? Mtu wa aina hiyo mi namwua then namuuliza maswali baadaye,Sasa ole wake ashindwe kujibu.....
 
pole sana ndg , huwa tunajifunza kupitia makosa naimani next time utakuwa makini zaidi
Yaani, siamini kabisa hadi leo hii juu ya uswahili alionifanyia yule jamaa, hapo kwenye CV yake nakumbuka masomo ya saikolojia na critical thinking alipata A, ajabu kwenye uhalisia wa maisha anashindwa kuishi vizuri na watu.
 
Back
Top Bottom