Jifunze kusoma kiarabu

Jifunze kusoma kiarabu

Mahmood Ulipata permission ya Sheikh ali Muhsin (M/Mungu amrehemu) kutumia content zake. Hongera sana kaka.

Asalam Alaikum.

Asante ndugu Millah kwa hongera ulizo nipa. Kusambaza elimu bure ni wajib kwa kila mtu. Sheikh Ali Muhsin (Mwenyezi Mungu amrehemu) kazitoa bure hizi data kwenye Internet (In Sha Allah atapata thawabu zake), mimi ninamsaidia kusambaza tu elimu yake kwa njia ya application (bure kama yeye).
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom