Jifunze kompyuta kwa wiki tatu

Jifunze kompyuta kwa wiki tatu

Abtali Mwerevu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
773
Reaction score
668
Tunafundisha Kompyuta kwa program za, MS WORD, ACCESS, EXCELL, POWERPOINT, INTERNET AND E-MAIL, PUBLISHER n.k, kwa muda wa wiki tatu tu. Tupo kinondoni Mwananyamala mkabala na shule ya Sekondari Kambangwa.

Mawasiliano: Call and WhatsApp 0754 89 53 21

Call only 0653 25 05 66
 
Chuo kipo wapi? Na fees structure? Nione pm
Tangazo linajieleza, "Tupo kinondoni Mwananyamala mkabala na shule ya Sekondari Kambangwa." Mengine mengi usisite kuwasiliana na sisi katika namba zilizooneshwa hapo juu.
 
Mtoa tangazo jiamini, sasa ukiandika 900, 000 tutaelewa nini
Umeulizwa ada hujajibu, usifikiri chuo cha kufundisha kompyuta ni kimoja hapa DSM, vyuo ni vingi mno inatakiwa uje tofauti na wengine ili uvutie wateja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom