Jifunze kitu kwenye hii thread

raiswenu

JF-Expert Member
Apr 20, 2018
794
1,429
Usiku wa manane nasika simu yangu inaita, nainyanyua naangalia ni mshikaji wangu Luka, namuuliz kulikoni Luka, anaongea kwa wasiwasi huku akihema kwa juu kama mtu anayekimbizwa na watu wasio julikana “Rais wenu, washa data kuna kitu nimekutumia watsupp” . ni mda kama wa saa saba za usiku nawasha data kwa haraka na baada ya muda watsup message inaingia, naifungua nakuta ni picha ya vipimo ya HIV vinavyojulikana kama bio line.

Nakimbilia kuvisoma vipimo hivi, nagundua vinaonyesha positive results, kwa maana ya kwamba mtu aliyepimwa ni mwathirika, duh inanipa hofu kidogo kwa kuwa mpaka hapo nakuwa sijajua ni majibu ya nani hasa!! Nabaki tu kujiuliza au mshikaji wangu tayari ni mwathirika? Amejipima amekuta tayari ni victim?, namibu kwa sentensi moja “maelezo?”Maelezo anayonipa yananipa wakati mgumu but kwa sababu ni usiku ninamsihi sana awemtulivu ili asije kuleta shida zaidi, asubiri kukuche ili tujue cha kufanya.

Iko hivi. Kuna demu alikutana naye kama siku mbili zilizopita, kabla ya siku ya tukio, demu ni mzuri siyo mchezo, anavutia sana, waswahili wanasema ameumbwa akaumbika, mtoto amenona kwelikweli, jamaa akashawishika, akachukua namba huku akimchombeza , jamaa akaendelea kumtongoza Yule demu kwenye simu, kwa siku kadhaa. Kwa ufupi siku hiyo ya tukio , ndiyo mara ya kwanza kugegedana na huyo demu,

Mchezo ulikuwa mzuri tu sema uliingia dosari baada ya jamaa kumaliza, anakuja kutoa dushe anashangaa mpira umepasuka, abdallah kichwa wazi yupo naked, anakuta ndom imevutwa juu imekuwa kama pete ya plastiki iliyovalishwa kwenye dushe. khaaa

Jamaa anaingiwa na wasiwasi, anaamua kumcheck HIV Yule demu ili kutafuta amani ya moyo wake bahati nzuri jamaa vipimo alikuwa navyo kwa sababu jamaa anafanya kazi hospitali, ndipo anapokutana na hicho kisanga, anakuta demu ni positive.

Asubuhi ilibidi twende hospitali, ilibidi kusema ukweli, ili apate msaada, alifanya vipimo kasha akapewa dawa ya PEP ili kuzuia maambukizi na kuua virus kabla hawajaweka makazi.

Mpaka leo huyu dada hajui kama ni positive, maana jamaa alimwambia majibu yanakuwa tayari baada ya masaa matano hivyo alale akiamka majibu yatakuwa tayari, anakuja kuamka tayari ameshayadump.

Baada ya wiki kadhaa alifanya vipimo mara kadhaa na akawa yupo negative, jamaa anamshukuru MUNGU kwa kumwokoa, anasema amekoma sasa sijui kama amekoma kweli, ila naona amebadilika kweli. Ni miezi kadhaa tangu tukio hili litokee

FUNDISHO: Usimwamini mtu hatakama ni mzuri kama malkia wa sheba, hata kama anamakalio makubwa kama tofari za mjerumani , hata kama anamvuto kama wote, please trust no one, kwa sababu siku hizi ni vigumu sana kutofautisha mwathirika na asiye mwathirika. Kuna watu pia wanasambaza magonjwa kwa makusudi, naamini huu uzi utaokoa watu wengine katika hili janga.
 
Ukifikria deep sana mwanao alikuwa na uroho na papara hasa baada ya kuona yale mafuta live bila nguo..

Hivyo nashawishika kusema jamaa hakuvaa jabulane

Tuvae jabulane nzuri bila kusahau zaga (lubricants)
 
, alifanya vipimo kasha akapewa dawa ya PEP ili kuzuia maambukizi na kuua virus kabla hawajaweka makazi.MKUU MM LEO NDIO NAJUA HILI!!!
 
Back
Top Bottom