nimecopy mahaliStory nzuri...Umetunga mwenyewe au ume copy
we mwenyewe umecomment upuuziMtoa Post ni nani hata uandike upuuzi namna hii.
Mtoa Post ni nani hata uandike upuuzi namna hii.
Nipo mimi hapa nimebaki.Siku hizi hakuna mwanaume wa namna hiyo...
Yaani hela itoke tu bure bure...??
Nipo mimi hapa nimebaki.
Huyu mwanaune najaribu kumtafuta kwenye orodha ya kitabu changu cha wanaume wa 19-21+century huku simuoni, alikuwa anatumia namba gani za utambulisho?Kuna mdada alikutana na mkaka wakati wako safarini, yule kaka akamuomba mdada namba ya simu. Njiani akamnunulia kila kitu alichotaka, alipofka stand mkaka akamlipia usafiri mpaka home kwao.
Basi wakawa wanawasiliana kila siku. Siku nyingine anamuita wanatoka wanakula na kunywa na hela anampa.
Yule dada akawaambia marafiki zake nimepata bonge la bwana jamani nitake nini mimi nisipewe? Mashoga wakamwambia weeee ebu jaribu yule dada akampigia yule jamaa akmwambia leo nipo nipo tu natamani kutoka ila sina hela ya saloon nimemis sana kwenda club na marafiki zangu. Yule jamaa akamwambia ok akamtumia laki 3 ya saloon na kumwambia kama isipomtosha aseme...
Huyu mwanaune najaribu kumtafuta kwenye orodha ya kitabu changu cha wanaume wa 19-21+century huku simuoni,alikuwa anatumia namba gani za utambulisho??
Maana tunaweza kuwa kunamtumia kama reference,tunapojaribu kuwaelezea wanawake sisi wanaume ni jinsi gani tuko poa sana.
Huyu mwanaume mwenzetu ni toleo la ngapi?Kuna mdada alikutana na mkaka wakati wako safarini, yule kaka akamuomba mdada namba ya simu. Njiani akamnunulia kila kitu alichotaka, alipofka stand mkaka akamlipia usafiri mpaka home kwao.

Chai