Jifunze kilimo cha nyanya

Hivi ni aina gani ya ukungu huzuia vizuri kati ya linkmil, farmerzeb au nyingine tofauti
 
Nimesoma mwanzohadi mwisho mijadala ni mizuri mwanzo hadi mwisho,tafadhali niunge kwenye whatsapp(0767358936).
 
Sasa wakuu nipende kuwauliza jambo langu.

Kwa morogoro mashamba wanakodishaje nikimaanisha bei.

Na je vipi wanalima msimu wa mwezi wa 10, 11, 12 ili wavune kuanzia december na January kuendelea.?
 
Aisee kama bado group la nyanya mpo tafadhali niunge 0755404226
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…