Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,240
- 850
Unalima mkoa ganiNo namaanisha, nyanya na vitunguu amesema ni vzr vikalimwa kwenye mwezi wa 6 na 7, je kwa kipindi hiki, ni mazao gani mengine mbali na hayo tunaweza kulima na yakawa na demand ya soko ??
TangaUnalima mkoa gani
miezi hiyo ni mizuri tu kwa sababu hakuna mvua na magonjwa machache, kipindi cha mvua ukungu na funza wanasumbua lakini ukiweza unapiga pesaNo namaanisha, nyanya na vitunguu amesema ni vzr vikalimwa kwenye mwezi wa 6 na 7, je kwa kipindi hiki, ni mazao gani mengine mbali na hayo tunaweza kulima na yakawa na demand ya soko ??
ili kukuza mmea zaidiUkishaanza kuchuma unakuwa unapiga dawa za wadudu na mbolea za juu tu booster, au kunakuwa na nini shambani hadi utake kuweka UREA?
ili kukuza mmea zaidi
Unalima mkoa gani
Ukishaanza kuchuma usitumie tena urea mkuu... Urea kazi yake ni kukuza tissue na kufanya majan ya ukijani.Hivi inawezekana ukichuma mchumo wa kwanza ama wa pili unaweka mbolea ya UREA?
Ngoja nikwambie kwenye kilimo kila dawa au mbolea unaweka kwa sababu maalumu,ili kukuza mmea zaidi
Ni wakati gani bei ya nyanya huwa na soko zuri sokoni
View attachment 673651 View attachment 673651 View attachment 673652
Msaada wadau nyanya inashambuliwa nimekuwa nilipiga ridomil gold na Ninja tangia nimezitoa kataluni lakini naona hali imekuwa mbaya ghafla week hii. Kuna nnachoweza fanya kuokoa?
cc: eddy mhando , kilimomaarifa.tajiri , Upepo wa Pesa na wadau wengine
Asante mkuu ngoja nifanye hivyo. Ila naona kuna hati hati ya kuokoa chini ya 40% ya miche hapa.Naomba niwakilishe wadau wengineo haaa haaa
Naona hiyo ni bacterial leaf spot. Ni ugonjwa mgumu kidogo kupambana nao haswa sababu bacteria ni wagumu kuwamaliza tofauti na fungus
Wapo kwenye udongo sasa mvua ikinyesha au maji yoyote ya kasi yakipita ndipo udongo utua kwenye majani na bacteria kushambulia hapo hivyo wako sana kipindi cha mvua sababu ya rain splashes. Kuwakinga tunatumia dawa zenye copper na mancozeb pekee ila pia ukitandaza nyasi inazuia splashes kuwepo so mulching inasaidia hili tatizo kwa mimea ambayo haija shambuliwa.
Puliza dawa yenye copper itakusaidia kwa mimea ambayo haijashambuliwa pia usambaaji wa bacteria kwenye majani mengine ya mmea wako.
Asante mkuu ngoja nifanye hivyo. Ila naona kuna hati hati ya kuokoa chini ya 40% ya miche hapa.
Mkuu polesana, Hiyo ni Bacteria Leaf spot, kuisimamisha isienee zaidi check Active Ingredient inaitwa Mono- Di Potassium Phosate ( Agrifos 400- Jina LA kibiashara), tumia Cppper na Booster ( Omex au PotPhos) kuipa nguvu mimea ambayo haijashambuliwa. Huenda kuna unyevu mwingi eneo lako La shamba
QUOTE
Mkuu hivi Ridomil gold na Linkmill kazi yake ni moja? au zina ufanano wowote?Copper inasaidia usiwe na shaka ndugu
Mkuu hivi Ridomil gold na Linkmill kazi yake ni moja? au zina ufanano wowote?
shukrani bossZote zina mancozeb na metalaxyl hivyo ni ziko sawa,kampuni tu tofauti
shukrani boss