Mkuu miche yangu nlopandikiza shamba majani yake yanaelekea kwnye rangi ya njano na kuna miche mingine imekufa kwa kuoza kuanzia chini mpk katikat ya mcheFupi inakaa miezi mitatu inakua imeisha inatoa nyanya juu kwenye kichwa cha mche,mavuno unavuna mengi kwa wakati mfupi sababu kila shina linaachwa hivyo ikiwa na mashine manne inamaana ni zaidi ya kg 2 utavuna kwa wiki kwa kila mmea,mmea mfupi mpaka kuisha chotara nyingi ni kg 10 kwa mche mmoja ila za kienyeji fupi ni kg 2 mpaka 3 kwa mche mmoja.
Ndefu hazina mwisho wa kukua hivyo uvunwa sita mpaka nane na hata zaidi kutegemea na huduma yako,ndefu hukupa wastani wa chini kg 20 kwa shina moja ila uvunaji wake kila wiki ni kichane kimoja ambacho mara nyingi huwa kg 1
Umepanda lini shambani? Mbona kama imepandwa vibaya haijashindiliwa vzr yani imechomekwa juu juu tuMkuu miche yangu nlopandikiza shamba majani yake yanaelekea kwnye rangi ya njano na kuna miche mingine imekufa kwa kuoza kuanzia chini mpk katikat ya mche
Ni ugonjwa gani huu na nafanyaje kuukabili,, Msaada wako tafadhali..
Mkuu miche yangu nlopandikiza shamba majani yake yanaelekea kwnye rangi ya njano na kuna miche mingine imekufa kwa kuoza kuanzia chini mpk katikat ya mche
Ni ugonjwa gani huu na nafanyaje kuukabili,, Msaada wako tafadhali..
Upo sahihi mkuu hata mm sijaona kama kuna ugonjwa hapo shida ni upandaji wakeMosi naona haukupandia mbolea yaani hukuweka DAP sababu hutupa phosphate ya kukuza mizizi na ammonium ya kutupa nitrate itupe rangi ya majani na shina lenye afya. Pia baada ya siku tatu huwa tunaishtua na CAN ili iendelee kulipa shina afya zaidi.
Pili baada ya kupanda hukupiga dawa za ukungu,huwa tunachanganya ridomil gold gm 20 kwa lita 20 za maji kisha unanyesha kwenye shina la mmea,hii husaidia kuzuia fungus kushambulia shina la mmea wako
Tatu ulipandikiza zaidi ukavuka kiwango ambacho kilikua kwenye kitalu,hivyo udongo ukagusa shina la kijani changa la mmea hii hulea tatizo la soft rot,haina dawa huwa tunaikinga kwa kupanda usawa ule ule uliokua kitaluni na pia kwa kupiga ridomil gold. Tafuta miche mingine ya kujazia sababu tiba hapo hakuna.
Ahsante
Iyp gramu 50utapata mavuno kiasi gani kama ikubali mkuu.,namaanisha utatoa tenga ngapi mkuu.hii mbegu ya assila gramu 50 inauzwa 560,000/=
Kwa msimu wa mvua gram50 ukipata heka 2 unapata tenga nyingi michumo mikubwa unajaza gari mara mbiliIyp gramu 50utapata mavuno kiasi gani kama ikubali mkuu.,namaanisha utatoa tenga ngapi mkuu.
Ina siku 9 leo,,kuhusu upandaji sijajua mana kuna watu walinisaidia kupanda mi nlipanda miche michache, Ila pia udongo ni wa asili ya kichangaUmepanda lini shambani? Mbona kama imepandwa vibaya haijashindiliwa vzr yani imechomekwa juu juu tu
Yani mengine hata udongo haina kwenye mizizi, nyanya ukipanda hovyo lazima ife nahisi ni tatizo ni upandaji wako
Sawa mkuu, lakini mi nlipandia samadi ya ng'ombe nliyoweka wiki 1 kabla ya kupandikizaMosi naona haukupandia mbolea yaani hukuweka DAP sababu hutupa phosphate ya kukuza mizizi na ammonium ya kutupa nitrate itupe rangi ya majani na shina lenye afya. Pia baada ya siku tatu huwa tunaishtua na CAN ili iendelee kulipa shina afya zaidi.
Pili baada ya kupanda hukupiga dawa za ukungu,huwa tunachanganya ridomil gold gm 20 kwa lita 20 za maji kisha unanyesha kwenye shina la mmea,hii husaidia kuzuia fungus kushambulia shina la mmea wako
Tatu ulipandikiza zaidi ukavuka kiwango ambacho kilikua kwenye kitalu,hivyo udongo ukagusa shina la kijani changa la mmea hii hulea tatizo la soft rot,haina dawa huwa tunaikinga kwa kupanda usawa ule ule uliokua kitaluni na pia kwa kupiga ridomil gold. Tafuta miche mingine ya kujazia sababu tiba hapo hakuna.
Ahsante
Iliyokufa ni michache lkn tatizo kuu naloliona ni huu unjano kwenye majani mkuu, Nafanyaje ?Upo sahihi mkuu hata mm sijaona kama kuna ugonjwa hapo shida ni upandaji wake
Kuhusu mbolea mm uwa napanda nasubiri kama siku 3 kuangalia miche ipi imeshika na ipi imekufa, iliyokufa narudia kupanda baada ya hapo ndio naweka mbolea tena uwa nachanganya mbolea ya kupandia na kukuzia, nachanganya DAP,CAN na YARAMILA
Huyu anaoneka kosa lipo kwenye kupanda, kuanzia kutoa miche kwenye kitalu kupeleka shamba, unaweza usiweke mbolea miche ikakua ila kwa kuchechemea sio kufa kabisa kama miche ya huyu
Iliyokufa ing'oe panda upya, kama shamba lina kichanga kingi chimba shimo lefu kwenda chiniIliyokufa ni michache lkn tatizo kuu naloliona ni huu unjano kwenye majani mkuu, Nafanyaje ?
Upo sahihi mkuu hata mm sijaona kama kuna ugonjwa hapo shida ni upandaji wake
Kuhusu mbolea mm uwa napanda nasubiri kama siku 3 kuangalia miche ipi imeshika na ipi imekufa, iliyokufa narudia kupanda baada ya hapo ndio naweka mbolea tena uwa nachanganya mbolea ya kupandia na kukuzia, nachanganya DAP,CAN na YARAMILA
Huyu anaoneka kosa lipo kwenye kupanda, kuanzia kutoa miche kwenye kitalu kupeleka shamba, unaweza usiweke mbolea miche ikakua ila kwa kuchechemea sio kufa kabisa kama miche ya huyu
Sawa mkuu, lakini mi nlipandia samadi ya ng'ombe nliyoweka wiki 1 kabla ya kupandikiza
Pili skustulia na Can na wala sijawah piga dawa yoyote toka niipandikize na leo ni siku ya 9 japo siku 1 kabla ya kupandikiza nlipiga belt zikiwa kitaluni
Tatu sasa kuhusu huo unjano na miche naiona km haina afya Nafanyaje mkuu?
Nne kuna mtaalamu amenambia ni Fungus na nipige Megasin kuzunguka shina na kwa juu pia, vp kuhusu hilo?
Ahsante.

Kuna aina mbili za mbegu za nyanya, kuna za kawaida na za kisasa au chotara "hybrid"Shukrani mtoa mada mimi nimelima mbegu aina hiiView attachment 671518
Na sasa ziko hivi kwenye kitaluView attachment 671519
Na nyingine nimesha hamishia shambani ni hiziView attachment 671520
Sasa ninajua ndio mbegu bora kulingana na muuzaji kumbe kuna bora zaidi aisee!
Lakini natoa shukrani kwa wadau nimepata elimu hapa nitajua pakuanzua.
Swali langu leo ni siku ya nne tokea kuandikiza, na huku dar kuna mvua inaendelea kunyesha je hazitaathirika?
Pili ni dawa gani nipige kuzuia wadudu na pia kama masika itazikuta zimeiva kuna athari ? Kila la heri.
Shukrani mtoa mada mimi nimelima mbegu aina hiiView attachment 671518
Na sasa ziko hivi kwenye kitaluView attachment 671519
Na nyingine nimesha hamishia shambani ni hiziView attachment 671520
Sasa ninajua ndio mbegu bora kulingana na muuzaji kumbe kuna bora zaidi aisee!
Lakini natoa shukrani kwa wadau nimepata elimu hapa nitajua pakuanzua.
Swali langu leo ni siku ya nne tokea kuandikiza, na huku dar kuna mvua inaendelea kunyesha je hazitaathirika?
Pili ni dawa gani nipige kuzuia wadudu na pia kama masika itazikuta zimeiva kuna athari ? Kila la heri.
Nyanya kama hazitakufa mvua haiwezi kuathiri ila uwe unakagua sn shamba kila siku na upige dawa za waduduShukrani mtoa mada mimi nimelima mbegu aina hiiView attachment 671518
Na sasa ziko hivi kwenye kitaluView attachment 671519
Na nyingine nimesha hamishia shambani ni hiziView attachment 671520
Sasa ninajua ndio mbegu bora kulingana na muuzaji kumbe kuna bora zaidi aisee!
Lakini natoa shukrani kwa wadau nimepata elimu hapa nitajua pakuanzua.
Swali langu leo ni siku ya nne tokea kuandikiza, na huku dar kuna mvua inaendelea kunyesha je hazitaathirika?
Pili ni dawa gani nipige kuzuia wadudu na pia kama masika itazikuta zimeiva kuna athari ? Kila la heri.
Mkuu unaonekana upo vzr kwenye mbolea, nitakutafuta nikianza kupandaHuo mchanganyiko unapoteza mbolea nyingi sana dap ina nitrate,can ina nitrate na kwenye npk kuna nitrate. Madhara ya nitrate ikizidi ni mmea unakua haraka sana but unazalia juu sana na matunda hafifu. Pia dap inapaswa iwekwe kabla ya kupanda ukichelewa ni siku unapanda sababu phosphate ni madini yanayotolewa taratibu na yanasafiri taratibu pia yanahitaji mapema sana ili ikuze mizizi,ukiweka dap mapema hata mimea mingi kufa itapungua sababu inahitaji chakula pale inapohamishwa.
Kuepuka huo mchanganyiko bora utumie otesha inamadini yote hayo maana ina npk
Nashuru sana mkuu, kila la heri.Nyanya kama hazitakufa mvua haiwezi kuathiri ila uwe unakagua sn shamba kila siku na upige dawa za wadudu
Hapo mavuno baada ya miezi mitatu inaweza kuwa masika imeisha au bado itategemea