Jifunze jinsi ya kuongeza uume

Jifunze jinsi ya kuongeza uume

Aventus

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
2,011
Reaction score
2,176
Watu wengi wamekua wakihangaika kutafuta dawa ya kuongeza Uume bila mafanikio pia kuna watu ambao wamepata madhara maada ya kutumia dawa za kuongeza Uume na hii inatokana na matumizi ya dawa za kemikali

Pia kuna wengine wamekata tamaa na kudhani kua hakuna dawa ya kuongeza Uume ila ni udanganyifu tu. ukweli ni kwamba dawa zipo tatizo ni kuzijua tu


Ili kutengeneza dawa ya kukuza Uume fuata hatua zifuatazo

Tafuta dawa zifutazo:
1. Unga wa Pilipili mtama Nyeupe (Filfil Abiadh) kijiko kimoja

2.Pilipili Baridi vijiko viwili

3.Kibiriti upele kijiko kimoja

Changanya vizuri na asali mbichi ya nyuki.

Matumizi
1.Osha uume wako kwa maji vuguvugu dakika 3 mpaka 5

2.Uchue uume wako kwa mchanganyiko huo wa asali kwa dakika 7

3. Fanya zoezi hilo kila siku kwa matokeo mazuri na haraka zaidi.

4.Endelea na zoezi mpaka itakapofikia saizi uitakayo.
NB:nme cop sehem
 
Duuuh...hiyo inakuwa movie ya OGANIGWE part 2....Pilipili na machine...
 
Uume delicate uweke kwa pilipil he he ivi ukishaongeza unaenda kuuza au???

Achana na hii coppy n paste uharibu watoto wa wanaume wenzio.

Mwanaume ubunifu tuu size ya booo achia porno movie
Nimepemda Haya Maneno Mpaka Wee mwemyewe nimekupemda
 
Back
Top Bottom