Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

BID
Ni kwa bidhaa zilizo kwenye mnada

Utaratibu wa mnada nadhani unafahamu.

Mwenye dau kubwa hadi muda wa mnada kuisha ndiye inatakiwa alipie bidhaa husika.
Duh! Mbna karbin zote huandkwa hvo nafanyaj kupata cheap ili na mm niuze npate faida?
 
Ok
 
Ok
 
Vp ulipata huo mzigo wako hadi sasa?
 
Habari ya Leo wadau,

Kuna changamoto nimeipata. Nilikuwa nikitumia kadi ya NMB Tanzanite kununua vitu ebay kwa kupitia paypal kwa muda wa miaka 3. Baada ya kadi kuexpire ile kadi nikapewa kadi nyingine ya Mastercard NMB. Lakini kadi ile inakataliwa kusajiliwa na paypal. Kila nikiingiza paypal inakataa. Niliwasiliana na paypal wakaniambia niwasiliane na bank. Nilivyokwenda benki wakaniambia sijajaza fomu ya kuweza kuruhusu kadi kufanya miamala ya mtandaoni. Nikajaza fomu lakini mpaka leo bado kadi inagoma kusajiliwa na paypal. Naombeni mnisaide kama kuna mtu ana uzoefu na utatuzi wa tatizo hili.
 
Akaunti yako ina pesa? Kama haina pesa hauwezi kuunga na PayPal coz kuna kiasi wanakata ili kuhakiki hiyo kadi ipo active.
 
Northrift
100 cm Eurostar dish,old Zuku twin lnb,,,,30 minutes tweaking.
To revisit again.
 
Kwa kweli kwa ufahamu wangu DHL ukipitisha mzigo huko lazima upitie Custom waukague kisha wanakulima kodi. Kama nataka kununua kitu sasa hivi nakuwa mpole kusubiri kwa wiki kadhaa ila napata mzigo wangu kupitia posta, no makato no nini.
Ngoja na mm niagize satfinder kupitia poster
 
HABARI NJEMA KWA WAKUU
BancABC kwa kushirikiana na MasterCard, wamezindua huduma mpya iitwayo M-Pesa-Mastercard ni ya kwanza na ya kipekee Tanzania itakayomuwezesha mteja wa M-Pesa kuweza kulipia huduma na bidhaa mitandaoni katika tovuti mbali mbali Duniani zinazopekea malipo kwa MasterCard. Kupata huduma hii ya Virtual Card piga *150*00# chagua lipa kwa M-Pesa, chagua M-Pesa MasterCard, kutengeneza kadi yako. Utapata Card Number, Expiration date pamoja na CVV Number ndani ya sekunde chache tu!
 
Kwa ambao hatutumii M-Pesa vipi mkuu Tigo Pesa nao wana hiyo huduma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…