Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

ukinunua bidhaa ebay, unaichukulia wapi?
  • Kabla ya kukamilisha manunuzi, huwa unatakiwa kwanza kujaza Anwani ambayo itatumika kupokelea mzigo husika.
  • Iwapo wewe unasishi Mwanza, Jaza anwani kamili ya mwanza na mzigo utakufikia mwanza.
=
unaichukulia wapi? | Utachukulia mahala/sehemu uliyo jaza(Anwani) mzigo ufikishwe/upokelewe.
 
Connection hii hapa | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Au inbox, unipe details zaidi.
Habari yako mkuu,
Nipo ebay kipindi kirefu lakini sijawahi kufanya order hata moja huwa naangalia bidhaa then bidhaa ile nalinganisha na Aliexpress basi huku naiona bei afadhali. Nafanya order kupitia Aliexpress.

Sasa huku ebay kuna category ya selling je? Hii hutumikaje au ni mimi nikitaka kuuza bidhaa zangu ndio natumia hii. Kama siyo je nikiwa na maparachichi yangu naweza kuuza kupitia majukwaa haya na taratibu zikoje nchini kwetu?
 
Kwasasa kuna shida gani? Mie siwezi fanya malipo tatizo ni kama kadi natumia vodacom visa card nikahamisha kwenda tigo mastercard napo pia tatizo hilo hilo
 
Asante aisee....Umekuwa fasta sana kujibu nikajua labda baada ya siku 3
 
Naipataje hii mkuu,bei gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…