Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,700 Aug 2, 2010 #21 Nami naungana na mawazo na fikra zote za ndugu wa marehemu popote pale walipo katika kipindi hiki cha majonzi. RIP
Nami naungana na mawazo na fikra zote za ndugu wa marehemu popote pale walipo katika kipindi hiki cha majonzi. RIP
Kiby JF-Expert Member Joined Nov 16, 2009 Posts 6,933 Reaction score 4,704 Aug 2, 2010 #22 Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwa. Tupo pamoja na familia yake wakati huu wa majonzi ya kuondokewa na mpedwa wao.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwa. Tupo pamoja na familia yake wakati huu wa majonzi ya kuondokewa na mpedwa wao.
U uporoto01 JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 4,698 Reaction score 1,428 Aug 2, 2010 #23 We have lost one of our fellow Tanzanians with the longest names.My condolences to his family.
Ndahani Platinum Member Joined Jun 3, 2008 Posts 18,158 Reaction score 9,168 Aug 2, 2010 #24 Apumzike kwa amani amen. His name was unique, though.
N ngwendu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2010 Posts 1,964 Reaction score 175 Aug 2, 2010 #26 sote ni wa mwenyezi mungu na kwake tutarejea. poleni waifiwa na mungu awepeni subira katika kipindi hiki kigumu.
sote ni wa mwenyezi mungu na kwake tutarejea. poleni waifiwa na mungu awepeni subira katika kipindi hiki kigumu.
B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,741 Reaction score 14,922 Aug 2, 2010 #28 RIP,Kamanda. Nilitegemea kuwa safari hii angeingia mjengoni baada ya kumng'oa Shibuda Maswa!! Anyway let us remember that our life is finite and thank our God for everything.
RIP,Kamanda. Nilitegemea kuwa safari hii angeingia mjengoni baada ya kumng'oa Shibuda Maswa!! Anyway let us remember that our life is finite and thank our God for everything.
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,199 Aug 2, 2010 #29 pumzika kwa amani mzee wangu Jidulamabambasi
BabaDesi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2007 Posts 6,214 Reaction score 4,170 Aug 2, 2010 #30 ...I always appreciated his long and colourful name; Jidulamabambasi. RIP
Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 19,021 Reaction score 9,177 Aug 2, 2010 #31 Sote tulimpenda, Ia MUNGU kampenda zaidi.
M Mzawa Halisi JF-Expert Member Joined Feb 25, 2009 Posts 645 Reaction score 379 Aug 2, 2010 #32 RIP Aman Mussa Nzugile J, Marehemu tulikuwa wote Op Program ya chama kule makutupora. Alijulikana sana hata nje ya kombania yake.
RIP Aman Mussa Nzugile J, Marehemu tulikuwa wote Op Program ya chama kule makutupora. Alijulikana sana hata nje ya kombania yake.
pamiho JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 271 Reaction score 36 Aug 2, 2010 #33 R.I.P :crying:
M MC JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 762 Reaction score 190 Aug 2, 2010 #34 Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana libarikiwe Poleni sana wafiwa, Mungu awapitishe salama katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo. Amen.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana libarikiwe Poleni sana wafiwa, Mungu awapitishe salama katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo. Amen.
Kardinali Member Joined Aug 2, 2010 Posts 11 Reaction score 3 Aug 2, 2010 #35 Poleni sana wafiwa wote. Tunamuombea kwa Mungu ampumzishe kwa amani. Amina.
mashikolomageni JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 1,570 Reaction score 193 Aug 2, 2010 #36 Wakuu mlio karibu huko Maswa mtuhabarishe, what went wrong kwa mtanzania huyu! Niyapi matokeo ya jimbo hilo? Mungu amlaze mahali pema
Wakuu mlio karibu huko Maswa mtuhabarishe, what went wrong kwa mtanzania huyu! Niyapi matokeo ya jimbo hilo? Mungu amlaze mahali pema
R Rwabugiri JF-Expert Member Joined Jul 10, 2007 Posts 2,775 Reaction score 230 Aug 2, 2010 #37 Rip Jidu, na poleni saaaana wafiwa, Mungu wetu awape faraja ya pkee katika kipindi hiki kigumu!
boma2000 JF-Expert Member Joined Oct 18, 2009 Posts 3,321 Reaction score 318 Aug 2, 2010 #38 MUNGU MLAZE PEMA PEPONI. Nampa pole kaka yake Yusuph na wadogo wake wote
A Akili Kichwani JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 1,508 Reaction score 222 Aug 3, 2010 #39 rip bro