Jicho letu ndani ya habari leo

Jicho letu ndani ya habari leo

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,361
Reaction score
6,441
Dotto Elias, uwe unachagua wachambuzi ambao ni philosophical. Huyo Moses Mathew ni mechanical. He has no philosophical arguments. He is so weak in presenting his arguments/points to the extent anataka kulazimisha maneno! Huyu ni mtu kama vile anajikomba kwa mamlaka fulani
Dotto Elias waongoze, you look good in presenting your argumeents
Edwin Soko anajaribu kidogo, bado kabisa!
 
Type hiyo ndio Ritz moko alisema ni waandishi kanjanja.
 
Last edited by a moderator:
halafu pia awe na watu wengine tofauti kila muda hao hao tu, ina maana mwanza nzima hakuna wageni wengine wa kuchangia? dotto namkubali kwa jinsi anavyijenga hoja ila hao wageni wake wa kila siku wanaboa tafuta wengine.
 
Back
Top Bottom