Jicho langu moja linauma. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jicho langu moja linauma.

Discussion in 'JF Doctor' started by Slave, May 6, 2012.

 1. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Habari wana jf doctor.leo nimepatwa na ugonjwa wa kuumwa na jicho moja la kushoto maumivu ni makali sana inasemekana ugonjwa wa kawaida wa macho huwa lazima yaugue yote lakini kama ni jicho moja eti unaweza ukawa ni huu ugonjwa mpya wa red eyes.
   
 2. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mi nina tatizo hilo limeanza miezi mitatu iliyopita nilipewa dawa haikufaa nikabadilishiwa lens mara mbili haijafaa sasa hivi halioni linaona maw├Čngu nimeambiwa nimsubiri doctor week ile baada ya kesho hatma yake hata sielewi we wahi hospital ukacheck
   
 3. s

  snagnax Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hapo nadhani ni inflamation ya macho jaribu kuchukua kipande cha tango uweke kwny jicho lnalouma ikishndikana jaribu eyedrops za visine
   
Loading...