Jicho langu la Tatu kutoka ukumbi wa Magogoni Feri

Mkuu naona umeongea kwa mafumbo sana ila kwa sie wengine tumeona kwamba Tanzania na CCM ni ile ile tu
1. Tunalazimishwa kuwa wazalendo kwa nchi yetu "Serikali" ila pia raisi anasahau kuwa mzalendo kwa raia wake, ameaamua kutatua kero anazoziona zina manufaa kwa tu bila kuangalia umma.

2.Taasisi zimeacha kufanya kazi ta sheria na taratibu bali kwa kuangalia maslahi ya rais na chama cha mapinduzi tu.

3.Rais na kurugenzi ya habari inatumia nguvu kubwa kuondoa dhana ya kuhoji na uwajibikaji wa serikali kwa wananchi badala ya kuwaonyesha uwazi na usawa ndani ya serikali.Ni rais na viongozi wachache wanaojua dira ya serikali na raia hawajui kinachoendelea.

4.Mawaziri, wakuu wa idara na taasisi hawajui majukumu yao ila wanajaribu kuotea raisi anataka nini.

Rai
Tanzania tunaipenda ila imefika kipindi sasa tuanze kusimamia taasisi zetu kwa kufuata misingi na sheria tulizojiwekea na bunge, pia uwajibikaji wa viongozi wetu uwe wa uwazi wanaoboronga wakifukuzwa iwekwe bayana makosa yao.Nchi haiongozwi kwa nia ila kwa misingi na sheria.
 
Nashukuru na Akhsante sana kwa kunifuatilia Mimi humu JF na kwa hizo ' Sifa ' zako zote ' Kuntu ' kabisa ulizonipa Mkuu. Umenitia sana moyo na kunipa nguvu kwamba kumbe nina ' impact ' fulani humu Jamvini na pengine hata katika Jamii kutokana tu na ' mabandiko ' yangu mbalimbali. Salute sana Kwako Mkuu.

Kuhusu maswali yako ya Profit Sharing na Economic Benefit Sharing naweza kukujibu tu kwa ufahamu wangu mdogo wa masuala ya Uchumi ila naamini humu Jamvini kuna ' Vichwa ' vya maana vilivyobobea na kutukuka katika masuala ya Kiuchumi hivyo naamini Wao watanisaidia kukujibu na kukuelewesha zaidi juu ya unachokiuliza.

Naamini tupo pamoja Mkuu wangu Kindikwili na hakijaharibika kitu.
Aksante sana mkuu, kifupi unajua kupanga hoja na mtiririko wa hoja zako ziko bayana, unatumia naneno yanayovutia msomaji. Kwangu wewe na Mzee tupa tupa nawaheshimu sana. Aksante kwa response yako pia mkuu
 
makengeza yalinipeleka FM, hili la MCL lilipita chongo

Hawa MCL tumeshawaonya na kuwahusia sana humu Jamvini JF ila naona ' dharau ' zimezidi na masikio yao wameweka ' pamba ' ila nadhani kwa maneno ya ' Taita ' wa Magogoni leo ' Mabosi ' wao sasa ' Kitu ' kinagonga katika ' Pichu ' na kurudi tumboni. Kuna wengine uwepo wetu humu JF ni kama vile ' Malaika ' wema hivyo tukikuonya au kukushauri jambo jitahidi unakuwa nalo makini sana. MCL kama itatokea na yakawakuta wala wasilaumu Mtu kwani Members wengi sana humu walishawaonya na namkumbuka mmoja wao aliyewaonya mapema kuwa ni Ruttashobolwa.
 
Aksante sana mkuu, kifupi unajua kupanga hoja na mtiririko wa hoja zako ziko bayana, unatumia naneno yanayovutia msomaji. Kwangu wewe na Mzee tupa tupa nawaheshimu sana. Aksante kwa response yako pia mkuu

Salute sana Kwako Mkuu. I feel so ' honored ' na akhsante mno. Kukubalika JF siyo Kazi rahisi na ' Sifa ' zote namkabidhi Mwenyezi Mungu wangu Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo kwa kuniumba hivi nilivyo na kunibariki kwa kuwa na vitu ' adimu ' ambavyo vinanitofautisha kwa kiasi kikubwa mno na wengine.

Kuna ' Mijitu ' kama naiona vile ilivyonuna!
 
Mkuu naona umeongea kwa mafumbo sana ila kwa sie wengine tumeona kwamba Tanzania na CCM ni ile ile tu
1. Tunalazimishwa kuwa wazalendo kwa nchi yetu "Serikali" ila pia raisi anasahau kuwa mzalendo kwa raia wake, ameaamua kutatua kero anazoziona zina manufaa kwa tu bila kuangalia umma.

2.Taasisi zimeacha kufanya kazi ta sheria na taratibu bali kwa kuangalia maslahi ya rais na chama cha mapinduzi tu.

3.Rais na kurugenzi ya habari inatumia nguvu kubwa kuondoa dhana ya kuhoji na uwajibikaji wa serikali kwa wananchi badala ya kuwaonyesha uwazi na usawa ndani ya serikali.Ni rais na viongozi wachache wanaojua dira ya serikali na raia hawajui kinachoendelea.

4.Mawaziri, wakuu wa idara na taasisi hawajui majukumu yao ila wanajaribu kuotea raisi anataka nini.

Rai
Tanzania tunaipenda ila imefika kipindi sasa tuanze kusimamia taasisi zetu kwa kufuata misingi na sheria tulizojiwekea na bunge, pia uwajibikaji wa viongozi wetu uwe wa uwazi wanaoboronga wakifukuzwa iwekwe bayana makosa yao.Nchi haiongozwi kwa nia ila kwa misingi na sheria.
foa shudu zako hapa hapo kuna mafumbo gani kama hizo sentense ni mafumbo je ukiwekewa mafumbo yenyewe si utasema hizo ni methali
Nashukuru na Akhsante sana kwa kunifuatilia Mimi humu JF na kwa hizo ' Sifa ' zako zote ' Kuntu ' kabisa ulizonipa Mkuu. Umenitia sana moyo na kunipa nguvu kwamba kumbe nina ' impact ' fulani humu Jamvini na pengine hata katika Jamii kutokana tu na ' mabandiko ' yangu mbalimbali. Salute sana Kwako Mkuu.

Kuhusu maswali yako ya Profit Sharing na Economic Benefit Sharing naweza kukujibu tu kwa ufahamu wangu mdogo wa masuala ya Uchumi ila naamini humu Jamvini kuna ' Vichwa ' vya maana vilivyobobea na kutukuka katika masuala ya Kiuchumi hivyo naamini Wao watanisaidia kukujibu na kukuelewesha zaidi juu ya unachokiuliza.

Naamini tupo pamoja Mkuu wangu Kindikwili na hakijaharibika kitu.
 
Mkuu hongera sana maana kipindi fulani ulikuwa na mitusi balaa.

Siku hizi hata ban hupigwi name zile zako zingine utakuwa hata password hukumbuki.

' Kitu ' cha ' Blantyre ' kimeleta ' mapinduzi ' haya ya Kutukuka. Akhsante Mkuu.
 
Hivi hizi comments zinamsifia Gentamycine...mbona zna aina fulan ya uandishi kama Gentamycine mwenyewe? Isijekuwa unatumia ID tofauti kujifia na kushukuru kwa ID nyingine.....maana kuna wengine wanaanzisha thread na kuchangia wenyew kwa ID tafaut.....Natania tu kaka!!
 
Hata hivyo hakuna mahala popote pale ambapo leo Rais ama aliongelea au aligusia suala lolote lile la Tundu Lissu na nimeshangaa kuona Wewe umelileta na kulihusisha hapa katika huu ' uzi ' wangu wakati hata si mahala pake. Naomba ukimjaza / ukimpachika / ukimweka / ukimtwisha / ukimngono Mkeo mimba nyingine akizaliwa Mtoto wa Kiume basi muite Tundu Lissu ili kuonyesha ' mahaba ' yako zaidi Kwake.
Umesema 'tuungane na kuonesha uzalendo' sasa swali ni je unaungana na kina nani? Yaani kwa lugha rahisi mimi ukiniambia tuungane cha kujiuliza je ninaungana na mtu au watu wa aina gani? Mi naungana na wale wote waopinga uonevu na kutetea haki ktk jamini lakini wengine wanaochagua kuungana na wezi, wanafiki, matapeli, waongo, madikteta, wauaji etc etc.

So swali kwako ni je tuungane na watu aina ya waliommimina risasi zote zile Lissu, nimejaribu ku simplify maana naewale una IQ ndogo sana na sikulaumu maana siyo kosa lako bali ni kazi ya genetics.
 
Saw a mkuu ila pigeni hesabu zenu upya mnayoyapalilia yanaondoa chakula mezani mwa watanzania wengi. Ushahidi ni pale waalikwa walipofurahishwa na kukaribishwa kwa chakula na popoma.
 
Umesema 'tuungane na kuonesha uzalendo' sasa swali ni je unaungana na kina nani? Yaani kwa lugha rahisi mimi ukiniambia tuungane cha kujiuliza je ninaungana na mtu au watu wa aina gani? Mi naungana na wale wote waopinga uonevu na kutetea haki ktk jamini lakini wengine wanaochagua kuungana na wezi, wanafiki, matapeli, waongo, madikteta, wauaji etc etc.

So swali kwako ni je tuungane na watu aina ya waliommimina risasi zote zile Lissu, nimejaribu ku simplify maana naewale una IQ ndogo sana na sikulaumu maana siyo kosa lako bali ni kazi ya genetics.

Sipotezi muda na IQ zilizojaa taka ' Nnya ' tafadhali.
 
Hivi hizi comments zinamsifia Gentamycine...mbona zna aina fulan ya uandishi kama Gentamycine mwenyewe? Isijekuwa unatumia ID tofauti kujifia na kushukuru kwa ID nyingine.....maana kuna wengine wanaanzisha thread na kuchangia wenyew kwa ID tafaut.....Natania tu kaka!!

Mwenyezi Mungu ndiye anajua ukweli wa yote Mkuu kama hao wenye hizo ID's na wamenisifia ni Watu wengine au ni Mimi huyu huyu GENTAMYCINE. Kumbe GENTAMYCINE hatakiwi ' Kusifiwa ' na ' Kupongezwa ' na Members humu Jamvini JF? Nilikuwa silijui hilo Mkuu na nikushukuru tu kwa ' Kujitokeza ' wazi kuonyesha jinsi usivyonipenda na unavyonichukia huku ukiwa hunitakii mema na ' unakereka ' kuona Members wanasifia juhudi zangu / uwezo wangu.
 
Back
Top Bottom