Jicho la tatu utawala wa Dr. Magufuli

Jicho la tatu utawala wa Dr. Magufuli

Siyo kwamba sukari hamna bali sukari ipo sema imefichwa na Wahindi ambao takataka mmejaa hapa kuwatetea!
Hawa Wahindi wamekwenda kununua Sukari nyingi ktk kwenye Viwanda vyetu halafu wameificha ili kutengeneza uhaba jambo ambalo nikosa Kisheria kwani wana leseni ambayo inakupa jukumu la kuuza bidhaa na anayefanya hivi pmj na ninyi mnaowateteta mnapaswa kunyongwa pale mnazi mmoja mchana kweupe kwani ni wahaini na adui wa mtu Mweusi!
umeangalia bei ya sukari toka mwaka huu umeanza kwenye soko la dunia?
je unategemea mfanya biashara apate hasara kwa kuuza kwa bei elekez ambayo ni chini kuliko bei alonunua sokoni?mtu huyu akisema imepanda bodi ya sukari inajua kweli imepanda lkn je watatenguaje bei elekezi?
panakuwa pagumu, hapo hapo mwenye kiwanda anakwenda kununua ile ya ndani anaitumia sasa muagizaj anabaki na ile ya bei kubwa hapa anamuuzia nani kwa bei iyo?
 
Mkuu hilo la sukari nadhani kuna watu wanampa JPM taarifa za kupotosha au anatafuta visingizio vya uhaba huu wa sukari kwamba unasababibshwa na wafanyabiashara , na sio uamuzi wao usiozingatia hali halisi. Ni kweli ulichosema wafanyabiashara wakubwa kama Zakaria na MO kuwa na stoch kubwa ya sukari hata zaidi ya hizo tani 4000 alizosema JPM ni kawaida tu. Wana mahitaji makubwa sana ya sukari. Serikali imefanya kosa wawe waungwana tu kukiri walikosea kuliko kutafuta mtu wa kumbebesha lawama. Ni binadamu sio malaika ila wajifunze, watumie wataalamu kwenye mambo yanayohitaji wataalamu tutaenda vizuri tu.
akipata taarifa za kupotosha atafte wataalam wamshauli, asiamue mwenyewe kwa kujiona anajua kila kitu kama walivyo wanasiasa wengi huku!
 
joni kidevu ni mpenda sifa, acha aendelee kujifanya kichwa kikubwa atAINGIZWA CHAKA NENE AKAJIFIE MBELE YA SAFARI!
Naona mnazidi kubanwa kwenye kona...kijasho kinawatoka. Kama ulizoea kunyonya wanyonge uache mara moja maana kuendelea na tabia hiyo ni kuhatarisha maisha yako...!!
 
Wanaopinga Serikali kuingilia kati sukari ni sawa na wanao nufaika na uhujumu uchumi na ufisadi.
 
Kila siku nasema Raisi Magufuli ni kipimo tosha cha IQ, ukiona haumuelewi ujue IQ yako haitoshi na siku kazi zikitangazwa wala usihangaike kwenda kufanya aptitude test kwa maana huwezi kupita!

Raisi hakukataza uagizwaji wa Sukari, ila alichokisema ni kwamba Sukari itaagizwa tu pale ambapo kutakuwepo na upungufu na kibali cha kuagiza Sukari hiyo kitatolewa na Waziri Mkuu ndivyo raisi alivyosema, sasa sijui hapo kigumu kuelewa ni kipi???

Ina maana basi upungufu wa sukari umejitokeza na kama alivyosema Raisi baada ya kujiridhisha kweli upo basi wataagiza sukari kwa utaratibu wao ili tu kukidhi lile pengo ambalo viwanda vyetu haviwezi kukidhi, ndicho alichomaanisha Raisi wa JMTZ!
kabla ya maagizo yake kulikuwa na mapungufu? you are so blinded! harafu una IQ Kubwa?????

Kwa mtazamo wangu nahisi bwana mkubwa haheshimu taaluma za watu, nimewahi kuhusika na masuala haya ya sukari enzi za JK, Sidhani kama JK Angekuwa in power suala hili lingetokea.

Raisi nimemsikia akisema kama vile watu wanamhujumu! haiwezekani kuhujumiwa incase supply iko vizuri hata uende kuloga!
 
Hausomi Habari?? Wahindi wako wamekwenda kununua bidhaa Viwandani kama kawaida na wafanyavyo siku zote kwa maana pia wana Leseni waliyopewa na Serikali yetu ambayo inawalazimu kutii sheria za nchi, waliponunua badala ya kwenda kuuza kwa Wananchi kama sheria inavyowataka wakaamua kuihodhi ili kutengeneza uhaba kwa lengo la kuishinikiza Serikali yetu na hilo kosa kulingana na Sheria za nchi yetu!
siasa si juu ya kila kitu! sheria ya demand and supply ilibidi iheshimiwe!
 
Mtanzania katika ubora wake wa maongezi ya kijiweni. Usultani ninao uongelea mimi ni ile tabia ya watu kujifanya wapo juu ya sheria, kujifanya hawagusiki. Magufuli ambaye wewe unamuona dikteta sio mkorofi kwa yule mwenye kuheshimu kilio cha wengi ambao ni masikini. Sio kweli kwamba Magufuli ni sultan, huwezi kuhodhi bidhaa kama sukari ili upate faida kupitia upandishaji bei halafu watu wakuache tu ulale na kuamka salama salimini. Huwezi kudharau trafic njiani kwa sababu wewe ni daktari bingwa au mwanasheria fulani, halafu uachwe tu uishi utakavyo. Nimeuongelea usultani katika sense hiyo, sio katika ile sense unayoielewa wewe. Waafrika tunaumwa ugonjwa unaoitwa superiority complex, tunajiona tunajua kuliko uhalisia wa kujua kwetu.
anawajali maskini kwa kupandisha bei? in the fist place hakukuwa na tatizo! bei ilikuwa vilevile ila baada ya kuzuia supply ya kutosha hapo laazima bei ipande
 
anawajali maskini kwa kupandisha bei? in the fist place hakukuwa na tatizo! bei ilikuwa vilevile ila baada ya kuzuia supply ya kutosha hapo laazima bei ipande
Tunaotazama mbali tunatambua kuwa hili suala la sukari ni dogo sana. Tunaiangalia nia njema kwanza, hizi complications nyingine ni mambo yaliyozoeleka maishani.
 
kabla ya maagizo yake kulikuwa na mapungufu? you are so blinded! harafu una IQ Kubwa?????

Kwa mtazamo wangu nahisi bwana mkubwa haheshimu taaluma za watu, nimewahi kuhusika na masuala haya ya sukari enzi za JK, Sidhani kama JK Angekuwa in power suala hili lingetokea.

Raisi nimemsikia akisema kama vile watu wanamhujumu! haiwezekani kuhujumiwa incase supply iko vizuri hata uende kuloga!

Bado hauelewi, hakuna mahali ambapo Raisi alisema kwamba sukari haitaagizwa ila alibadilisha utaratibu wa uagizwaji sukari uliokuwepo, yaani utoaji vibali na sasa vibali vya uagizaji sukari vitatolewa tu na Waziri Mkuu kwa kujadiliana na Raisi pale watakapoona kuna umuhimu wa kufanya hivyo, sasa kigumu kuelewa hapo ni kipi??!
 
Hao wasambazaji wakubwa walionunua sukari na kuifungia ili kutengeneza uhaba waje kupata faida, hukumu yao ni nini kwa mujibu wa sheria? Msaada....
kwashauli wafiche bia kama wataweza! msiingize siasa katika reality! angeacha mambo kama yalivyokua, kulikuwa hamna tatizo.

Baada ya kuleta siasa matatizo yameanza! Nyie mnaoshangilia kila kitu mtamponza raisi! inawezekana akawa mzuri lakini si katika murtadha huu.

Kilakitu awe anafanya tafiti kabla ya kutoa mamri!
 
Tunaotazama mbali tunatambua kuwa hili suala la sukari ni dogo sana. Tunaiangalia nia njema kwanza, hizi complications nyingine ni mambo yaliyozoeleka maishani.
nia njema huenda kwa tafiti si kwa namna ilivyo sasa
 
nia njema huenda kwa tafiti si kwa namna ilivyo sasa
Mtasema yote, nyinyi ndio mliokuwa mnasema JK mpole na anacheka sana na watu. Anayewaongelea na kuwatetea majority, siku zote yupo na Mungu. Hayo ya tafiti mnayajua nyinyi wasomi wa mijini, wale wanaomuomba rais aongee nao wala hawana mpango wa kuzijua habari za tafiti.
 
Hausomi Habari?? Wahindi wako wamekwenda kununua bidhaa Viwandani kama kawaida na wafanyavyo siku zote kwa maana pia wana Leseni waliyopewa na Serikali yetu ambayo inawalazimu kutii sheria za nchi, waliponunua badala ya kwenda kuuza kwa Wananchi kama sheria inavyowataka wakaamua kuihodhi ili kutengeneza uhaba kwa lengo la kuishinikiza Serikali yetu na hilo kosa kulingana na Sheria za nchi yetu!
we pimbi povu linakutoka unajua hivyo viwanda vya ndani vinamilikiwa na nani?? kama kunyonga utawanyonga maccm wenzio
 
Mtasema yote, nyinyi ndio mliokuwa mnasema JK mpole na anacheka sana na watu. Anayewaongelea na kuwatetea majority, siku zote yupo na Mungu. Hayo ya tafiti mnayajua nyinyi wasomi wa mijini, wale wanaomuomba rais aongee nao wala hawana mpango wa kuzijua habari za tafiti.
Siioni hoja! afanye tafiti
 
Mimi ni mshabiki wa JPM ila hili sikubaliani nalo. Nilitarajia kusikia aliyezuia kuingiza sukari nchini bila kuangalia kuwa viwanda vyetu havina uwezo wa kukidhi mahitaji ATUMBULIWE halafu ndio akae na ambao wanasukari ili watusaidie kuachia kwenye soko hasa la matumizi ya nyumbani huku tukishuhulikia ugizaji wa sukari. Hawa wahindi tunawaonea bure serikali ndio imesababisha uhaba kwa kukataza kuingiza sukari ya nje. Na unadhani kwanini JPM amekaa kimya juu ya aliyezuia uagizaji sukari!!?? Au ndio hizi ainema za watumishi hewa wakurugenzi na ma afisa utumishi wamekula kwa kuingiza kwenye mishahara majina hewa halafu sasa wanakama watu waliopata hiyo mishahara huku wao wakiachwa kana kwamba sio waliopiga hilo dili.
 
Back
Top Bottom