Jicho la tatu utawala wa Dr. Magufuli

Jicho la tatu utawala wa Dr. Magufuli

Hehehe Magu kaza maana walisha zoea
Ntayaunda sana maneno
Lakini Magu atafanya kile anacho kiona kinafaida kwa Watanzania
 
Siyo kwamba sukari hamna bali sukari ipo sema imefichwa na Wahindi ambao takataka mmejaa hapa kuwatetea!
Hawa Wahindi wamekwenda kununua Sukari nyingi ktk kwenye Viwanda vyetu halafu wameificha ili kutengeneza uhaba jambo ambalo nikosa Kisheria kwani wana leseni ambayo inakupa jukumu la kuuza bidhaa na anayefanya hivi pmj na ninyi mnaowateteta mnapaswa kunyongwa pale mnazi mmoja mchana kweupe kwani ni wahaini na adui wa mtu Mweusi!
Na hao walowauzia hawa Wahindi bidhaa hii kwa wingi kiasi hicho ni WAHINDI pia? Kama kunyongana basi muanze na hao mulowapa majukumu ya kusambaza na kuhifadhi hii bidhaa na kuwauzia yote hawa unaowaita WAHINDI. Mukisha wanyonga hao ndio tufate sisi.

Nakwambia tena wewe mwenye IQ kubwa ilokuzidi. Kwa ujuzi wangu (pratically) anapokuja mteja kununuwa bidhaa (especially kama hii ilokuwa controlled by the highest authority) na akataka kununuwa kwa wingi kuliko mahitaji ya kipindi kile, munatakiwa mumpe kiasi tu cha matumizi na si zaidi. Kwa sababu hasara yake ni kuwanyima wateja wako wengine ambao unafanya nao biashara kila siku. You just can not do that.

Usiende mbali kutafuta wa kunyonga, just look on your left and they are all there.
 
Na hao walowauzia hawa Wahindi bidhaa hii kwa wingi kiasi hicho ni WAHINDI pia? Kama kunyongana basi muanze na hao mulowapa majukumu ya kusambaza na kuhifadhi hii bidhaa na kuwauzia yote hawa unaowaita WAHINDI. Mukisha wanyonga hao ndio tufate sisi.

Nakwambia tena wewe mwenye IQ kubwa ilokuzidi. Kwa ujuzi wangu (pratically) anapokuja mteja kununuwa bidhaa (especially kama hii ilokuwa controlled by the highest authority)

Hausomi Habari?? Wahindi wako wamekwenda kununua bidhaa Viwandani kama kawaida na wafanyavyo siku zote kwa maana pia wana Leseni waliyopewa na Serikali yetu ambayo inawalazimu kutii sheria za nchi, waliponunua badala ya kwenda kuuza kwa Wananchi kama sheria inavyowataka wakaamua kuihodhi ili kutengeneza uhaba kwa lengo la kuishinikiza Serikali yetu na hilo kosa kulingana na Sheria za nchi yetu!
 
Duhh kama hauko informed ni bora Uulize. hivi ni nani aliyekuambia mkukuta, mkurabita et al ni sera zilizobuniwa kutoka ndani? Ili ujue sio zao la ndani nenda kwenye nchi nyingine ambazo ziko most indebted utaona wana sera hizo hizo. Sikutajii ni nani muasisi nakupa homework ukasome.
Kuhusu one-man-army ni sahihi kabisa ili kurudisha heshima ya nchi. Uhuru ulikuwepo mkauchezea mwisho wake mkafisadi Mali za taifa. Sasa ngoja tupate dictator (kama mnavyomuita) huenda mambo yakabadilika. Mlizoea mchakto wa kujenga kisima cha Maji safi unachukua 5 years wakati kila kitu kipo tayari sasa ngoja mkimbizwe mchakamchaka atakayeshindwa speed apishe.
 
Low thinking capacity at it's best
Kaka nimekuomba urudie hilo neno kwa sababu sijalielewa, wewe unaleta mbwembwe za kingereza chako cha shuleni. Lengo langu niweze kukujibu hoja kistaarabu, wewe unahamaki kama vile kuna mtu kakutukana!.
 
Ohoooo nilimaanisha anawasaidia mkuu,kwani kingereza kingine ni cha wapi?
 
Ohoooo nilimaanisha anawasaidia mkuu,kwani kingereza kingine ni cha wapi?
Mimi nadhani kwamba rais anawajali masikini, anajitahidi kuwasemea masikini. Viongozi wengi wa Afrika huwa wanashindwa kuvikwepa vishawishi vya matajiri, wanapozungukwa na wamiliki wa viwanda na matajiri wakubwa, huwa wanakosa ujasiri wa kuongea kwa niaba ya masikini. Rais Magufuli bado anao mtihani huo mbele ya safari, matajiri wanapenda kubakia na maisha mazuri hata kama ni kwa gharama ya kuumia kiuchumi kwa walio wengi.
Iwapo ameamua kuwa mtetezi wa mnunuaji wa sukari, basi amekubali kupigana vita dhidi ya mzalishaji na msambazaji wa sukari na hiyo sio vita ndogo.
 
...JPM anainyoosha nchi, ilikuwa imezama kwenye usultani wa wachache kuwageuza walio wengi kuwa ni wajinga.
Utakuwa ni mtoto mdogo asiyejua hata historia na maana ya usultani. Kama hujui usultani ni nini kaa kitako ushuhudie usultani kwa rangi yake halisi unavyorudi kwa kasi kupitia mlango wa nyuma. Hii ndiyo awamu halisi ya usultani, hakuna cha katiba, hakuna cha sheria, na hakuna cha haki. Sultani akitamka hiyo ndiyo sheria...tumelikoroga sasa yabidi tulinywe.
 
Katika tawala za JK Nyerere, AH Mwinyi zilikuwa na fashion moja, wanasiasa ndio walikuwa juu ya kilakitu!

Wanasiasa walikuwa wanaakili, wajuaji, ndio waelewa wa kila kitu na wenye akili kupita watu wote nk. wanasiasa ndio walikuwa watoa maamuzi yote na wanakuwa wasomi wa kila taaluma maana hata mambo yanayohusu taaluma wanasiasa hao walikuwa wanatoa solutions za kitaalam.

Wakati wa utawala wa Ben Mkapa waliendelea na mtindo huo huo wa ujuaji japo ilikuwa kwa kipindi kifupi saana. Miezi michache saana ya utawala wa Ben kukatokea janga ambalo likahitaji taaluma katika utatuzi wake, Meli ya Mv Bukoba ikapata tatizo, lakini kama jinsi mazoea ya mifumo ya hapa nchini yalivyokuwa kwamba wanasiasa kuwa ndio walikuwa wako juu ya kilakitu na wajuaji wa kilakitu. Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mwanza akawa mtaalam! akaamuru aliyoyajua yeye na matokeo yake watu mamia wakafariki dunia.

Bwana Ben akajifunza kitu kutokana na mkasa huo wa mv bukoba, na taaluma za watu zikaanza kuheshimika, na kwakweli kama taifa mambo mengi yakaanza kubadirika, as a result mambo serikalini yakaanza kubadirika na serikali ikaanza kuwa na maono na pesa pia. Wataalamu waliotukuka waTanzania wengi wakarudi hapa TZ watu kama akina Daudi Balali, mchumi nguli akaja kuongoza benki kuu, Arthur Mwakapugi mchumi nguli akarudishwa nae kuongoza Macro economy. Na wengine wengi tuu. Kuna taasisi nyingi zikaanzishwa, sera na mipango mingi zilabuniwa, mfano Mkukuta, mkurabita nk.

Serikali ya bwana Kikwete ilikata katikati yaani ikaanza na mambo ya akina mwalimu plus ya Ben. Lakini asilimia kubwa zaidi ilichukua ya Ben huku ikidumu zaidi kuheshimu kwa kiasi kikubwa taaluma za wabobezi, ilifanikiwa pia "kutongoza" watanzania wabobezi waliokuwa nje kurudi kutumika hapa nchini kwetu, kama alivyokuwa akifanya bwana Ben.

Kwa maoni yangu Serikali hii mpya ya bwana JPM inarudi kuleee mwanzoni kwa akina JK Nyerere na AH Mwinyi. yaani wanasiasa wameanza kuwa juu ya kilakitu, wanakuwa wanajua kila kitu na kama Mv Bukoba ingetokea tena Nadhani wanasiasa watakuwa waamuzi wa kila kitu, maana wanajua kilakitu, ni wataalam wa kilakitu nk.

Mifano hai ya upembuzi wangu huu ni suala la sukari. Naona kama kuna makosa mengi ya kiutaalamu kuhusu suala hili. Bodi.ya sukari wanajua kilakitu kinachoendelea na walikuwa na takwimu juu ya kilakitu! lakini nahisi wanasiasa wako juu zaidi ya bodi ya sukari, maamuzi kama kupiga marufuku vibari vya importation ya sukari, sidhani kama kulikuwa na utafiti wowote kabla ya kutoa maagizo hayo, kungekuwa na utafiti kusingetokea matatizo katika suala hili.

Kauli ya jana ya president kuwa anamfahamu mfanyabiashara amenunua tani sijui kasema elfu Nne? oups! kuwa kaficha? kwa ufahamu wangu mdogo juu ya suala la sukari, kuna watumiaji wakubwa na watuimiaji wadogo. Watumiaji wakubwa ni kama akina Zakariah, SS Bakhresa, Mo nk. hawa wana viwanda vikubwa ambavyo sukari ni mojawapo kati ya malighafi zake, ninaufahamu kuwa prodiction ya hapa nchini haiwatosherezi hawa MA tycoon! wanatumia sukari kwenye products zao kama juice, soda, yogut nk. sasa ukienda ghala za matycoon utakuta storage ya kutosha ya sukari. Huwezi kuwatuhumu mojakwamoja matycoon kwa storage yao.

Watumiaji wakubwa hao wa sukari pia walipewa privilege ya kuwa na vibari vya uagizaji wa sukari nje ya nchi nadhani ni kwa nia nzuri tuu.

Ushauri wangu, Raisi apunguze siasa na kuzingatia na kuheahimu taaluma za watu ili kilakitu kiwe kiweledi, si kisiasa, arudi kwenye misingi ya bwana Beni kuheshimu taaluma na aelewe wanasiasa hawajui kilakitu.

Pia aruhusu na kuomba kukosolewa ili hata wasaidizi wake wasibaki kumshangilia hata sehemu wanajua anakosea. Akiomba kukosolewa wasaidizi wake watakuwa wa kwanza kumkosoa matokeo yake utendaji wake utakuwa uliotukuka. Nina ushahidi maana nimemsikia mtumishi wa umma akikiri kumuogopa Magu mnoooo! sasa ukiogopwa mno itakuwa ngimu watu kukushauri.
Nimesema mara nyingi humu na wengi hawanielewi. Wengi pamoja na serikali wanafikiri sukari ni ya chai peke yake! Watu wanahiyari wapate sukari ya chai, viwanda vifungwe na wengine wakose kipato. Ukisema unaonekana kama unampinga Rais basi na wewe utakuwa fisadi.
 
Utakuwa ni mtoto mdogo asiyejua hata historia na maana ya usultani. Kama hujui usultani ni nini kaa kitako ushuhudie usultani kwa rangi yake halisi unavyorudi kwa kasi kupitia mlango wa nyuma. Hii ndiyo awamu halisi ya usultani, hakuna cha katiba, hakuna cha sheria, na hakuna cha haki. Sultani akitamka hiyo ndiyo sheria...tumelikoroga sasa yabidi tulinywe.
Mtanzania katika ubora wake wa maongezi ya kijiweni. Usultani ninao uongelea mimi ni ile tabia ya watu kujifanya wapo juu ya sheria, kujifanya hawagusiki. Magufuli ambaye wewe unamuona dikteta sio mkorofi kwa yule mwenye kuheshimu kilio cha wengi ambao ni masikini. Sio kweli kwamba Magufuli ni sultan, huwezi kuhodhi bidhaa kama sukari ili upate faida kupitia upandishaji bei halafu watu wakuache tu ulale na kuamka salama salimini. Huwezi kudharau trafic njiani kwa sababu wewe ni daktari bingwa au mwanasheria fulani, halafu uachwe tu uishi utakavyo. Nimeuongelea usultani katika sense hiyo, sio katika ile sense unayoielewa wewe. Waafrika tunaumwa ugonjwa unaoitwa superiority complex, tunajiona tunajua kuliko uhalisia wa kujua kwetu.
 
Naomba unipe jibu moja tu, je Magufuli yuko juu ya sheria?
 
Utakuwa ni mtoto mdogo asiyejua hata historia na maana ya usultani. Kama hujui usultani ni nini kaa kitako ushuhudie usultani kwa rangi yake halisi unavyorudi kwa kasi kupitia mlango wa nyuma. Hii ndiyo awamu halisi ya usultani, hakuna cha katiba, hakuna cha sheria, na hakuna cha haki. Sultani akitamka hiyo ndiyo sheria...tumelikoroga sasa yabidi tulinywe.
Haki ya nani hii ID imevamiwa au imebinafshwa?
 
Kila siku nasema Raisi Magufuli ni kipimo tosha cha IQ, ukiona haumuelewi ujue IQ yako haitoshi na siku kazi zikitangazwa wala usihangaike kwenda kufanya aptitude test kwa maana huwezi kupita!

Raisi hakukataza uagizwaji wa Sukari, ila alichokisema ni kwamba Sukari itaagizwa tu pale ambapo kutakuwepo na upungufu na kibali cha kuagiza Sukari hiyo kitatolewa na Waziri Mkuu ndivyo raisi alivyosema, sasa sijui hapo kigumu kuelewa ni kipi???

Ina maana basi upungufu wa sukari umejitokeza na kama alivyosema Raisi baada ya kujiridhisha kweli upo basi wataagiza sukari kwa utaratibu wao ili tu kukidhi lile pengo ambalo viwanda vyetu haviwezi kukidhi, ndicho alichomaanisha Raisi wa JMTZ!
Sometimez unaweza ukawa na point, ila jaribu kuwa rational, acha kushabikia kila linalotoka juu kuwa ni sawa.

Unapokuwa mshabiki inadhihirisha wazi kuwa una IQ ndogo sana na pia inatupa picha kuwa unalipwa posho kwa kazi hiyo.

JF ni jukwaa huru acha siasa njaa.
 
No kugeuka nyuma anaogopa kubadilika na kuwa jiwe kama waliomtangulia hizo kelele endeleeni tu kupga lakn mpaka amfikie mwali
Haya yote yameshatabiriwa hamna jipya tunazid kusonga mbele
#DiraYaTaifa2025
 
Hao wasambazaji wakubwa walionunua sukari na kuifungia ili kutengeneza uhaba waje kupata faida, hukumu yao ni nini kwa mujibu wa sheria? Msaada....
 
Back
Top Bottom