Jicho la tatu: Nape keep CCM under pressure

Labda leo ndio kawa shujaa (kwa viwango vya ukawa), maana akili zenu mnazijua wenyewe!
Ni kweli kabisa kwetu sisi UKAWA, gamba likivua fikira za ugambani (yaani fikira mgando) kwetu ni ushindi na moja kwa moja tunaliona ni SHUJAA na siku hiyo tunacheza mdundiko kushangilia - ni hatua moja kuelekea ukombozi wa pili.
 
Kitendo alichofanyiwa Nape ni unajisi mkubwa wa uhuru kuongea na kinatakiwa kulaaniwa na watanzania wote sijajua ni nani kwasasa atakuwa na ubavu wa kulikemea ilo iwe ndani ya CCM au serikali hii. Na ningemshauri amfungulie kesi yule askari akiyemtolea Bastola.
 
Fanyeni kazi, muache udaku.

Mkulu mwenyewe alisema anaangalia SHILAWADU...akiwa namaana udaku wote wa mjini usio na maana kama jike shupe katoka na mwanamke mwenzie???...dan mtt wa mama katoka na nani???...kaoge mvuto yupo hoteli gan??? na yupo nan??? Sembuse huu wenye manufaa kwetu na wajukuu wetu!!!!
 
Fanyeni kazi, muache udaku.

Huwezi kufanya kazi bila uhuru. Huwezi kufanya kwa vitisho vya bunduki, huwezi kufanya kazi kwa kuonewa, huwezi kufanya kazi ikiwa kuna sheia mbili, moja ya kabwela na moja aliye karibu na Rais hii siyo Tanzania tuliyokuwa tukitegemea kutoka kwa Rais Magufulli
 
ujinga wa hawa watu wamesahau kama kazi aliyoifanya nape, kwasasa bado ana marafiki kuanzia baraza la mawaziri mpaka kwenye chama.......Kwahiyo akikaa pembeni figisu bado zitaendelea mpaka mwisho!Hao marafiki zake hawafutiki leo au keshoNjia nzuri ilikuwa kuzungumza na kumtoa huyu muhuni bashite
 
JK makundi yenu 2015 ndo yametufikisha hapa. Sasa mmebaki macho kodo,hata ushauri wenu hataki kuusikiliza.
 
Siyo wasukuma wote ni wajinga.
 
Inchi yetu hii basi tu kwanini hatuend kwa mifumo tunaenda kwa matukio?
 
Shemeji Yake alikuwa ikulu mhula uliopita ....jiran Yake Mmakua alikuwa IKULU ...sasa kaingia wadakama ....."Mwambie mm mmakonde"
 
Mfungaji wa goli la mkono afanyiwa sub,amekuwa oil chafu. Karma
Kumbe ule mkono alio umia, ndio alio tumia kwa kufunga bao la mkono hadi akajeruhiwa...
 
Wanalumbana kipindi ichi ikifika karibu na uchaguz wote ni ccm lao moja wanawake wapewa kanga vitenge kofia na wanaume wanapiga ngoma na bia wakikata viuno "mkandamizaji" anapatikatina tunaanza tena kulalamik km saiv... watz mbumbumbu hawana ila kupenda ubwete na udaku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…