Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,804
- 218,449
Simba wataliaView attachment 1701833
Naona wazi kabisa ligi ikisimamishwa
Mkuu hii ni dawa ya chochote au ni dawa ya corona?View attachment 1701833
Naona wazi kabisa ligi ikisimamishwa
kisa ?Simba watalia
Sasa neutral gani itapokea wageni hawa magumashi, saa sita unapima Mabibo negative unapanda ndege kufika Angola unapima positiveCAF wachague Neutral Ground kwa mechi kama hizo, otherwise itakua ngumu sana
Tena ule uwanja wetu mpya wa Chato kitovu cha utalii ungekuwa tayari mechi zote huko tuu.Michezo yote ifanyike Tz
Taratibu za CAF kwa kipind hiki cha Corona zinawapa mamlaka Home Team kuwapima Corona Away Team ndo maana Namungo wamekutwa watu watatu na Corona. Hata kipindi simba wameenda Zimbabwe, walisema kina Chama na Miquison walikua na Corona. Hii inawezekana ni mbinu ya kuwatoa wachezaji tegemezi katika kikosi.Sasa neutral gani itapokea wageni hawa magumashi, saa sita unapima Mabibo negative unapanda ndege kufika Angola unapima positive