Jicho la huruma la Serikali ni kama hili hapa

washwa washwa

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
1,613
717
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia baadhi ya wabunge wakati wakichangia mijadala mbalimbali wakiitaka Serikali iwaangalie kwa jicho la huruma.Baada ya kutafakari kwa muda namna hilo jicho la huruma linavyofanana, nafikiri wadau linafanana na hili hapa chini au mnasemaje?

 
acha mambo ya ajabu hili si jicho lahuruma ila ni la mahaba, we vipi unadhani serikali ina mahaba na wewe? Halafu hao wabunge ni vimeo hawaelewi wanachosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…