mmmmh hiyo ni style ya kusimama au ndio alivyo???mbinuko gani huo mtu anakua kama namba 2.....atakua mlemavu akilala lazima aweke mto mgongoni kusupport mwili vinginevyo kiuno kitamuuma sana........
Mtoto kama huyo ukiingia nae bar bia zinagoma kwenda kwenye midomo..vinginevyo utaishia kujimwagia bia kwenye sarawili ...lazima mimacho pima ikutoke..