Jichimbie Kaburi Guest House

Beberu-mpya

JF-Expert Member
Feb 14, 2017
216
104
Kwani ni lazima kuingia Guest kama hii na ukakuta maandishi kama haya mbele ya Guest na ukaendelea kuweka bondi ya Pesa kusubiria mchepuko wako na kweli akafika na ukakuta kitanda chenyewe kiko katika design hii na ukaendelea kula Uroda na mwisho was siku unajikuta umekipata ulichokuwa unakaribishwa nacho pale mlangoni kwa kuupata UKIMWI? let's see your comments my dear friends.
 

Attachments

  • FB_IMG_1487101044469.jpg
    FB_IMG_1487101044469.jpg
    35.4 KB · Views: 54
FB_IMG_1487101044469.jpg
kwani kina shida gani?au ni hicho kitanda cha kutoka kwa fundi washi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom