Wakati unatafakari tuleteee majibu ya hoja hz za report ya CAG kwa wizara ya ujenzi kwa ukaguzi wa 13/14.
Kwenye report ya CAG wizara ya magufuli alibaini yafuatayo:
◆TZS 252,975,000,000 Hazikulipwa kwenye kujenga barabara mpya kama ilivyokuwa imepangwa.
◆TZS 3,048,365,229 CAG hakuibaini matumizi yake maana ake hazikuwa na supporting documents yaani vocha ilikutwa yenyewe ikiwa tupu au ikiwa na nyaraka pungufu.
◆TZS 36,638,175,000 malipo ambayo yalifanyika lkn hayakutolewa taarifa yoyote hadi kipindi cha ku-report kinafika.
◆TZS 6,175,786,959 zililipwa kwa wakandarasi ambao hawakuorodheshwa kama wadeni wa wizara.
Yote haya yalifanyika Magufuli akiwa waziri mwenye sifa za kusimamia vema wizara.
Kuwa rais wa nchi hapana magufulu bado labda awe rais wa wakandarasi.
Kitengo chao bado wapo Analogy hawajui kuwa tekinologia imebadilika ndio maana mbinu zao zote Safari hii zimegundikika kirahisiCCM inahitajika kuhuisha uhai wa kitengo cha propaganda ikiwa ni pamoja na kuwapeleka mafunzo
Ni ngumu sasa kujua propaganda zipi za upinzani zipi za Chama Tawala....
Kuna haja pia ya kuchuja nani akabidhiwe propaganda ili usiwape mavuvuzela kazi ya propaganda
Kwani report ya CAG inasema nini kuhusu halmashauri ya monduli?
Umesahau za ESCROW hasa zile zilizolipwa kule stanbic kwenye sandarusi na viroba cash Bil 270+!!Zipo wapi pesa za sukari, pesa za bomba la gesi, pesa za watumishi hewa ?
Monduli kumepelekwa bilioni zaidi ya mbili kwa ujenzi wa hospitali kilichojengwa ni majengo mawili tu.
Lowasa leo kafunika mbaya Sumbawanga,hakuna kulala mpaka magogoni
Nyie wataka mabadiliko tuambieni basi hizi bilioni 45 kwa ajili ya mradi wa maji Monduli zimeenda wapi.
Monduli wananchi wanakunywa maji machafu wakigombea na Ng'ombe.
Kitengo chao bado wapo Analogy hawajui kuwa tekinologia imebadilika ndio maana mbinu zao zote Safari hii zimegundikika kirahisi
Nyie wataka mabadiliko tuambieni basi hizi bilioni 45 kwa ajili ya mradi wa maji Monduli zimeenda wapi.
Monduli wananchi wanakunywa maji machafu wakigombea na Ng'ombe.
Ameuliza swali na nyienamuuliza maswala ya escrow.. Kwann msimpe majibu kwanza mnaofahamu
Hakika wewe ni jingalao
Hivi na wewe unaamini ya kwamba hizo bilioni 45 zililiwa kweli? Mwaka gani?
Pili, bajeti ya Wizara ya Maji kwa mwaka 2015/16 ni bilioni 456 so huo mradi kwa Monduli pekee ni sawa na 10% ya current budget ya wizara ya maji, na wewe unaamini Halmashauri moja inaweza kutengewa 10% ya budget ya Wizara moja?
Pili Halmashauri nyingi total budget kwa idara zote zinacheza kwenye 20-40 bilions, so Hawa Monduli waliweza kumeza bajeti nzima ya Hamashauri into only one project? Mind you tena sio idara bali ni ka project tu, maana idara ina projects nyingi na total bajeti kwa idara ya Maji Wilayani huwa hazizidi hata bilioni 5
Kajipangeni upyaaa
Unazijua fedha za ADP na matumizi yake?
Muulize baba halafu uje kwenye hoja!