miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,110
ha hahaha mi nilikuwa na derive mpaka napata xyMimi nilikuwa sipendi ujinga kabisa...how come niambiwe nitafute X wakati iko wazi kwenye Eqn? Zungushia duara kusanya paper!
3 ni nusu ya 6, hata 6 ni nusu ya 12, 12 ni nusi 24, nadhan apo utakuwa umeelewaKwa hiyo 3 sio nusu ya 6 sita ?
Mimi hesabu nilipata F3 ni nusu ya 6, hata 6 ni nusu ya 12, 12 ni nusi 24, nadhan apo utakuwa umeelewa
Umesema ana miaka 3, sasa miaka 10 baadae atakuwaje na miaka 30??Mimi hesabu nilipata F
Hebu nisaidie
huyu ana mika mitatu 3
na yule ana miaka 6............Miaka kumi baadae wa miaka mitatu 3 atakuwa na 30
Na wa miaka 6 baadae je atakuwa na 60 ?
ShukranBaada ya miaka 10, wa 3 atakuwa na 13, 6 atakuwa 16.
Sent from my LG-H818 using JamiiForums mobile app
Mkuu, yan umri wa mdogo wangu kuwa 1/2 yangu ni ktk umri wa sasa, ratio hiyo inabadirika umri ukiongezeka.Hamna Mkuu umekosea,, Swali lako limekosewa...in reality huwezi kumzidi mdogo wako miaka mitatu Alafu muda huohuo awe na 1/2 ya umri wangu. Swali lako linakubali kama nina umri wa 6 tuu .Kama ni 60 ,namzidi 3 that means yeye ana 67.Hapohapo tena namzidi nusu that means awe na 35 which totally wrong equation.
Nusu ya umri wa sasa ni kweli miaka mitatu. ila kama unataka umri uwe nusu yake ni sawa kuwa nusu ya 70 ni 35. na kama unataka umri halisi basi ni miaka 67 kwa tofauti ya miaka mitatu. ambapo ndio sahihi. vinginevyo utupe majibu au utakuwa swali lako umebashiteSikatai mkuu,lakini msingi wa nusu 1/2 ni ngapi?
Mfano
Una shilingi elfu kumi=10,000
Mimi nina buku tano =5,000
Kwa hiyo elfu 5 ni nusu 1/2 ya elfu kumi.
Hivyo basi kama tukizidisha kwa kumi katika kila fedha 10,000 x 10 =100,000
na 5,000 x 10 =50,000
kwa hiyo elfu hamsini ni nusu ya laki.
Iweje miaka mitatu (3) useme sio nusu ya miaka sita (6)???