Jibu mpaka mwakani

Joasi

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
766
Reaction score
680
Habari,
Huyu mwanadada nimemrushia mistali kwa utaalam Sana.

Jibu Lake ni mpaka next year.
Wenye experience mnahitajika.
 
Habari,
Huyu mwanadada nimemrushia mistali kwa utaalam Sana.

Jibu Lake ni mpaka next year.
Wenye experience mnahitajika.

= mistari

Huo ndiyo utaalam? Kuandika kwenyewe kasheshe.

Soma, achana na mambo ya kipuuzi.
 
sijui amekula maharage ya wapi huyu... ...
mistari hairushwi mkuu
 
Ndio maana kakukataa.

Hiyo mistali uliyomrushia itakuwa imemuumiza, kwanini ulimrushia , si ungemkabidhi tu.
 
Mistali!! Ngoja nipekue kamusi yangu, dizaini lugha yetu inazidi kupanuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…