Nimedondoa hii kutoka Hansards, hapo kwenye red inafurahisha sana:
....lakini - tunataka kulihakikishia Bunge lako Tukufu kwamba kazi hiyo itafanyika naitafanyika kikweli,
- matokeo tutakuja kuyaonyesha hapa katika Bunge lako Tukufu.
- Tunaomba tu tupewe mudakwa sababu hakuna kitu kinachofanywa mara moja lakini matokeo tutakuja kuyaonyesha hapa katika Bunge lako Tukufu.
SWALI LA NYONGEZA
Mhe Waziri,pamoja na heshima uliyonipa,unaonaje ukawazadia wananchi moja ya uongozi uliotukuka kwa kuonesha uwajibikaji wa kuachia ngazi,ikiwa ni juu ya majibu yako ya "liwalo na liwe"?