Jibu La Swali; Anna Mghwira Atakubali Au Atakataa Uteuzi?

maggid

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
1,084
1,246
Ndugu zangu,

Nina bahati ya kufuatilia kwa miaka mingi siasa za nchi yetu.

Katika kujiuliza mawili hayo, hilo la pili haliwezekani kwenye Jamhuri.

Tukae tukiamini kutoka sasa, kuwa RC mpya wa Kilimanjaro kuanzia sasa ni Mama Anna Mghwira. Kama ni mazungumzo yameshafanyika.

Kwenye Jamhuri ni utovu wa nidhamu unaokaribia uhaini kumtolea nje hadharani Rais wa Jamhuri. Hilo hufanyika kwenye mazungumzo ya awali na kimyakimya.

Nini tafsiri ya uteuzi huu?

Turudi nyuma Oktoba 18, 2015. Siku ile kama nilivyoirekodi hapo kupitia ukuta wangu huu ( Facebook), ni siku muhimu iliyompambanua Anna Mghwira kwenye kuonyesha umakini wake na kwamba nafasi ile ya Uenyekiti wa Chama chake na dhamana ya kugombea urais alistahili.

Kwenye mdahalo ule wa wagombea urais, Anna Mghwira alionyesha umahiri mkubwa wa kujieleza.

Anna ni kiongozi mnyenyekevu na msikivu. Ni rahisi kumwamini na kumuheshimu.

Niseme hapa kwa mara ya kwanza, kuwa katika unyenyekevu wake na kuthamini mawazo ya wengine, Anna aliwahi hata kuniomba ushauri wa namna gani nzuri kitaalam kuwasilisha hoja zake kwa hadhira yake. Nilimsaidia.

Uteuzi huu utafsiriwe pia kama sehemu ya mkakati wa kujipanga kwa Magufuli kwa 2020.
Magufuli hapa ameonyesha umakini mkubwa. Anna anakwenda Kilimanjaro akiwa na mtaji mkubwa wa imani na kura za wanawake na vijana wengi waliotokea kumkubali kwenye kampeni za uchaguzi uliopita.

Kuondoka kwake ACT ikiwa ni pamoja na kujivua uanachama wa ACT, kunakotarajiwa, na kwenda kusimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM ni pigo kubwa kwa ACT, kufikiri vingine ni kujaribu kuogelea kwenye mapovu.

Magufuli hapa, tena Kisayansi, ameanza kuwafikia, kwenye ngome zao, wapinzani wake wa 2020 na kuanza kuwanyang'anya silaha.

Maana, kuna namna mbili za kuvua kambale kwenye lambo kwa maana ya bwawa la samaki; kukaa ukisubiri na ndoano na chambo chako. Unaweza kushinda kutwa nzima ukaambulia kambale mmoja tu, au, kupasua ukingo wa lambo na hivyo kukausha lambo.
Hiyo njia ya pili ni nyepesi sana. Huhitaji bakuli, bali tenga la kuwakusanya kambale.

Hii ni tafsiri endelevu...

Maggid Mjengwa.
 
Attachments

  • 2.jpg
    2.jpg
    43.8 KB · Views: 37

"Uteuzi huu utafsiriwe pia kama sehemu ya mkakati wa kujipanga kwa Magufuli kwa 2020.
Magufuli hapa ameonyesha umakini mkubwa. Anna anakwenda Kilimanjaro akiwa na mtaji mkubwa wa imani na kura za wanawake na vijana wengi waliotokea kumkubali kwenye kampeni za uchaguzi uliopita."
Hapa si sawa, hakuna aliyemkubali...kura 98,763 nchi nzima

upload_2017-6-5_18-7-37.jpeg
 
Ndugu zangu,

Nina bahati ya kufuatilia kwa miaka mingi siasa za nchi yetu.

Katika kujiuliza mawili hayo, hilo la pili haliwezekani kwenye Jamhuri.

Tukae tukiamini kutoka sasa, kuwa RC mpya wa Kilimanjaro kuanzia sasa ni Mama Anna Mghwira. Kama ni mazungumzo yameshafanyika.

Kwenye Jamhuri ni utovu wa nidhamu unaokaribia uhaini kumtolea nje hadharani Rais wa Jamhuri. Hilo hufanyika kwenye mazungumzo ya awali na kimyakimya.

Nini tafsiri ya uteuzi huu?

Turudi nyuma Oktoba 18, 2015. Siku ile kama nilivyoirekodi hapo kupitia ukuta wangu huu ( Facebook), ni siku muhimu iliyompambanua Anna Mghwira kwenye kuonyesha umakini wake na kwamba nafasi ile ya Uenyekiti wa Chama chake na dhamana ya kugombea urais alistahili.

Kwenye mdahalo ule wa wagombea urais, Anna Mghwira alionyesha umahiri mkubwa wa kujieleza.

Anna ni kiongozi mnyenyekevu na msikivu. Ni rahisi kumwamini na kumuheshimu.

Niseme hapa kwa mara ya kwanza, kuwa katika unyenyekevu wake na kuthamini mawazo ya wengine, Anna aliwahi hata kuniomba ushauri wa namna gani nzuri kitaalam kuwasilisha hoja zake kwa hadhira yake. Nilimsaidia.

Uteuzi huu utafsiriwe pia kama sehemu ya mkakati wa kujipanga kwa Magufuli kwa 2020.
Magufuli hapa ameonyesha umakini mkubwa. Anna anakwenda Kilimanjaro akiwa na mtaji mkubwa wa imani na kura za wanawake na vijana wengi waliotokea kumkubali kwenye kampeni za uchaguzi uliopita.

Kuondoka kwake ACT ikiwa ni pamoja na kujivua uanachama wa ACT, kunakotarajiwa, na kwenda kusimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM ni pigo kubwa kwa ACT, kufikiri vingine ni kujaribu kuogelea kwenye mapovu.

Magufuli hapa, tena Kisayansi, ameanza kuwafikia, kwenye ngome zao, wapinzani wake wa 2020 na kuanza kuwanyang'anya silaha.

Maana, kuna namna mbili za kuvua kambale kwenye lambo kwa maana ya bwawa la samaki; kukaa ukisubiri na ndoano na chambo chako. Unaweza kushinda kutwa nzima ukaambulia kambale mmoja tu, au, kupasua ukingo wa lambo na hivyo kukausha lambo.
Hiyo njia ya pili ni nyepesi sana. Huhitaji bakuli, bali tenga la kuwakusanya kambale.

Hii ni tafsiri endelevu...

Maggid Mjengwa.
Nafasi ya mkuu wa mkoa siyo lazima uwe katika chama cha siasa hilo kwanza tuli juwe.
Pili unaweza kuwa katika chama chochote cha siasa bila kuathiri kazi zako.
Mkuu wa mkoa unatakiwa kufanya kazi za kiserikali kuwatumikia watu wote sio wanachama fulani.
Na dhani Bi Anna hana haja ya kujivua uwanachama wa ACT lakini anaweza kujivua uenyekiti
 
Vita dhidi ya wenyeviti wa vyama vya siasa wenye njaa haijawahi kumuacha mtu salama, ilianza kwa mrema, ikaja kwa Lipumba na sasa iko kwa Anna Mgwira.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom